Je, ni kweli udhamini GSM ni wa kimkakati?

Je, ni kweli udhamini GSM ni wa kimkakati?

sheria inasema huwezi kudhamini ligi km una maslahi ktk timu yyte iliyoko ktk ligi hiyo.

Mambo yote yanayolalamikiwa na Simba yapo kikanuni, MF. nembo nk.
hiyo sheria ni kifungu gani na cha ngapi naomba niione
 
hiyo sheria ni kifungu gani na cha ngapi naomba niione
ukielekezwa unafuatilia kujua Ni kifungu gani. Naweza kukwambia kufungu namba fulani ukaanza kubisha.Ingia mtandaoni tafuta .

Tatizo unadhani kila kitu ni porojo.
 
hiyo sheria ni kifungu gani na cha ngapi naomba niione
Mkuu nimeikuta tu sehemu nikaona nikusogezee labda itasaidia chochote
Screenshot_20211212-075427.jpg
 
Back
Top Bottom