Hatimae umeonesha uwezo wako wa kufikilia ulipoishia, kumbe hoja ni kwakuwa TFF wamekubali Kwanini Simba ipinge sio? Okay kama TFF ndio waliandika kanuni juu ya rangi za mdhamini mkuu zilizopo kwenye nembo yake ziheshimiwe na hazitakiwi kubadirika Kwanini Yanga waga wanapinga? Kama TFF ndio final say? Acha uzwazwa tumia ata hizo akili zako ndogo kwa faidaKama TFF wameamua lifanyike Hilo wewe Nani UPINGE?
Justification ya hili kikanuni ikoje?Mkuu angalia usije kuwa wewe ndio Mtanzania usie na Akili na sio wengine, GSM ni kit supplier wa Yanga na mfadhiri mkuu kwa sasa ambae muda wowote ataenda kupata umiliki wa hisa za umiliki wa club
Team zingine ikiwemo Simba ina mikataba na kit supplier wa makampuni mengine, let's say Vunjabei anadhamini Simba na polisi kama sikosei, Leo hii akakae kwenye jersey moja na kit supplier wa team ingine we huoni kama kuna mgongano wa kimaslahi? Umewahi kuwaona Adidas na Nike kwenye jersey 1?
Kingine katiba ya TFF imeelezea vizuri kabisa juu ya mdhamini Mkuu wa ligi anatakiwa kukaa wapi kwenye jersey za team zote zinazoshiriki ligi kuu bara, na hakuna sehemu inamtaka mdhamini mwenza akae kwenye jersey, hii ya safari hii imetokea wapi?
GSM sio wadhamini wenza wa kwanza kupatikana katika ligi ya Tanzania na hao hawajawahi kukaa kwenye jersey zaidi ya kwenye mabango na kutambulika tu kama wadhamini wenza imekuaje kwa GSM ikae kwenye jersey na katiba inatumika ile ile ya miaka yote?
Kinachoonekana kuna harufu ya rushwa imetumika ili kukiuka baadhi ya kanuni zao wao wenyewe na ndomana wakati watu wanaanza kuhoji uhalali wa udhamini huu TFF ilitoa tamko kuwa watu hawaruhusiwi kuhoji Kwani huo mkataba ni kati ya TFF na GSM
Ni kama vile GSM wamefanya kuikomoa Simba na kufurahisha mashabiki wao kwamba Simba amevaa nembo yetu na sioni kama kulikuwa na dhamira ya kweli ya kudhamini ligi na kama ingekuepo basi kanuni zingefatwa
Hakuna mahusiano ya moja kwa moja yaliyopo kati ya GSM kudhamini ligi na kuchukua ubingwa wa ligi kuu ila tatizo taratibu zinavunjwa ili tu GSM akae kwenye jersey ili iweje? Lengo hasa ni nini? Ukinijibu hayo maswali niliyouliza ndio nitaweza kujiweka namie kama ni miongoni mwa watanzania ambao hatuna Akili, ila ukishindwa basi utakuwa wewe ndio Mtanzania usie kuwa na Akili
Kweli wewe Ni #mjingawewe#Shida ni kwamba mna ushabiki maandazi Sana.
na MPIRA wa Tanzania hauwezi kuendelea kamwe kwa huu ushabiki wenu.
sioni mahusiano yaliyopo Kati ya gsm na yanga.
Gsm NI mdhamini mwenza wa LIGI.
Nembo yake itavaliwa na club zote za ligi.sio Simba Peke yake..
GSM hajadhamini jezi . amedhamini LIGI.
Na ndo maana nikasema NYIE mna ushabiki maandazi.Hatimae umeonesha uwezo wako wa kufikilia ulipoishia, kumbe hoja ni kwakuwa TFF wamekubali Kwanini Simba ipinge sio? Okay kama TFF ndio waliandika kanuni juu ya rangi za mdhamini mkuu zilizopo kwenye nembo yake ziheshimiwe na hazitakiwi kubadirika Kwanini Yanga waga wanapinga? Kama TFF ndio final say? Acha uzwazwa tumia ata hizo akili zako ndogo kwa faida
Sawa mpumbavuKweli wewe Ni #mjingawewe#
Kanuni inamtaka mdhamini mkuu peke yake ndio mwenye mamlaka ya kukaa mkono wa kulia wa jezi kwa team zote ambazo zinashiriki ligi kuu, na hazimuongelei mdhamini mwenza kabisa juu ya uwepo wake kwenye jersey, ila inajulikana mkono mwingine wa kushoto waga ni kwa ajili ya matumizi mengine ya club husika, wataamua wenyewe either wamuweke mdhamini wao au lahh, kwahiyo mamlaka ya TFF kwenye jersey na mdhamini mkuu kwa mujibu wa kanuni yanaishia katika bega la kuliaJustification ya hili kikanuni ikoje?
Una haki yakujiita@mjingamimiNa ndo maana nikasema NYIE mna ushabiki maandazi.
Na mkiendelea hivi MPIRA wa Tanzania hauwezi kuendelea kamwe.
Mnapenda kurumbana kwa vitu vidogo Sana .kisa usimba na uyanga.
Na wao GSM wanafanya hivyo wanajua mtapanic.
Na Hilo ndo lengo lao.
TFF na mdhamini ndo wamekaa wakaamua iwe hivyo.
Kwanini Mara nyingi complain zinatokea kwa Simba na yanga?
mbona timu nyingine HAZILALAMIKI?
Kuwa na akili azam mkataba wao n wa kimaudhui unataka ulalamike kivipMbona Azam hamkulalamika, kama mnalalamika hapa inabidi malalamike na Azam sababu tofauti na hapo ni double standards za ajabu.
kwa hyo unataka TFF waache kuchukua hela za udhamini sababu ya ushabiki wenu maandazi wa Simba na yanga?Una haki yakujiita@mjingamimi
Unarudia yale yale ya kutokujibu hoja unabaki kuruka ruka tu, acha kuropoka kijana tumia akili zako basi mbona kwenye maswali na hoja ya msingi hujibu? Of course inaonekana huna unachokijua wewe unaropoka tuNa ndo maana nikasema NYIE mna ushabiki maandazi.
Na mkiendelea hivi MPIRA wa Tanzania hauwezi kuendelea kamwe.
Mnapenda kurumbana kwa vitu vidogo Sana .kisa usimba na uyanga.
Na wao GSM wanafanya hivyo wanajua mtapanic.
Na Hilo ndo lengo lao.
TFF na mdhamini ndo wamekaa wakaamua iwe hivyo.
Kwanini Mara nyingi complain zinatokea kwa Simba na yanga?
mbona timu nyingine HAZILALAMIKI?
Wewe umetoa shilling ngapi kwenye udhamini wa ligi?.Unarudia yale yale ya kutokujibu hoja unabaki kuruka ruka tu, acha kuropoka kijana tumia akili zako basi mbona kwenye maswali na hoja ya msingi hujibu? Of course inaonekana huna unachokijua wewe unaropoka tu
aliekwambia ni Simba peke yake ndio wanagomea huo udhamini nani? Ulimskia almasi kasongo aliposema kuna vilabu 8 ambavyo vinataka ufafanuzi juu ya huo udhamini ila watakaotoa ufafanuzi sio bodi ya ligi ni TFF
Simba na Yanga zina nguvu kuliko hao wengine ndomana wanasikikaga wao tu na kuhusu hii case ya sasa Simba ndio kafungwa kengele na hivo vilabu vingine kwa sababu ana nguvu
Ulianza vizur ila mwishoni ndo ukaharibu.Azam Tv sio wadhamini wa ligi, isipokuwa wana haki za matangazo ya television ya ligi.
Kingine Azam haipo kwenye jezi ya timu, tofauti na timu anazozizamini.
Mkataba wa Gsm na TFF una makandokando mengi ya kikanuni. Kwanza kanuni hakuna sehemu zinaposema mdhamini mwenza anakaa kwenye jezi, isipokuwa mdhamini mkuu. Sasa kwa nini TFF walazimishe gsm akae kwenye jezi wakati ni mdhamini mwenza?
gsm ni kit supplier wa Yanga lakini baadhi ya timu zina kit supplier wengine ambao kiuhalisia ni washindani wa kibiashara wa gsm. Mfano Simba na polisi Tanzania wana vunjabei. Kuwaweka gsm na vunjabei kwenye jezi moja ambao ni washindani kibiashara hauoni ni mgongano wa kimaslahi?
Sikuwahi kudhania kama TFF na gsm ni mbumbumbu kiasi hiki.
Anaita wenzie mambumbumbu kumbe yeye ndo mkufunzi wao.Mkuu ni bora ungemquote jamaa nilemquote kuliko kuniquote mm. Ulichokiandika ndicho nilichokimaanisha ila in a very simple way.
Kwahiyo wanaotakiwa kuhoji ni ambao wamechangia ata mia Sasa wewe unaendelea kujipitisha hapa unatafuta nini au mwenzangu umechangia?Wewe umetoa shilling ngapi kwenye udhamini wa ligi?.
kanuni ikibadilishwa na mdhamini akaweka nembo yake na timu zikapata mgao
NYIE mnaumia nini?
unaleta complain wakati hauchangii hata 100.
Kwa miaka minne walivyoishi kama wafalme huwez amini kama leo hawa ndo wanalalamika.Kikubwa heshima na ndoa yenu na tff ivunjike maana karia na kidau waliwekwa pale na top m1 wa serikali ili tu kuwawezesha mikia wachukue ubingwa miaka 10 mfululizo,heshima imerudi na mikia mzunguko wa 5 tu wa ligi washapagawa,bado huko mbele ya safari mtapagawa hadi mkome,zile dharau sijui Yanga inakula matikiti sababu ya njaa kushney soon tunaanza kurudisha makombe yetu mtake msitake,tutaheshimiana hapa
Acha kukalili mambo, kwa taarifa yako ni kuwa hakuna kanuni inayozungumzia juu ya mdhamini mwenza nembo yake itakaa/haitakaa kwenye jezi ya timu, bali ni hao tff wanapomfuata huyo mdhamini kumuomba udhamini , na yeye ndiye anatoa masharti yake, mkiyakubali sawa anatoa pesa!!na tff ndio walimfuata GSM, na yeye akatoa masharti hayo.sasa kama hao wadhamini wenza wa nyuma hawakutoa sharti hilo ni wao!!kanuni zipi hizo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi?mbona hadi sasa timu hazifahamu hyo mdhamini mkuu washindi watapata kiasi gani?TFF, ndiye mwenye ligi na mikataba yote ya wadhamini ni yeye ndiye anaiingia, hata CAF, ni hivyo hivyo, nyie timu mtapewa tu utaratibu wa kuufuata basi, kuna timu hapa hapa ina udhamini wa ttcl na logo yake iko bega la kushoto , sasa watakapokuja kuambiwa waitoe/kuihamisha utasikia kelele tena!!wakati kanuni ziko wazi kuwa hata ukipata mdhamini wako huko lazima uijurishe tff kwanza!!Tatizo la kwetu u yanga na simba ndio kikwazo.Kabisa Mkuu, unajua watu wanashindwa kutofautisha hoja na ushabiki au hoja na mihemko, me Nampa hoja ambazo tulipaswa tujadili ili atetee point yake ya kuwa haoni point ya Simba kugomea kuvaa jersey yenye nembo ya GSM
Namuuliza GSM ndio mdhamini mwenza wa kwanza kupatikana katika ligi kuu bara? Je hao wengine wamewahi kukaa kwenye jersey za team zote ligi kuu? Je anajua kanuni zinasemaje kuhusu mdhamini mwenza na mdhamini mwenza? Je anajua kama GSM ni kit supplier wa Yanga alafu unaenda kumuweka pamoja na supplier kit wa team zingine, ye aliwahi kuona wapi Adidas na Nike kwenye jersey moja?
Badala ya kujibu maswali ambayo kimsingi ndio yenye majibu juu ya swali lake kuwa haoni point ambayo Simba wanayo ili kuikataa GSM, ye anaruka ruka tu na hoja zake za kitoto, hii issue kiufupi Sana ni kwamba ishafeli na TFF atazitapika tu hela alizokula za GSM maana kuna ukiukwaji wa kanuni ambazo zilifatwa kwa muda mrefu sana juu ya mipaka ya wadhamini wenza hapo awali ila TFF wamekuja kuzikiuka kwa GSM
Acha hela ziingie huo Ushabiki wenu wa Simba na yanga.pelekeni huko.Kwahiyo wanaotakiwa kuhoji ni ambao wamechangia ata mia Sasa wewe unaendelea kujipitisha hapa unatafuta nini au mwenzangu umechangia?
Umetumia andiko refu sana kumpa elimu mtu ambae hawezi kuelewa,ila sio mbaya wenye kuelewa mambo watafaidika na elimu yako.Mkuu angalia usije kuwa wewe ndio Mtanzania usie na Akili na sio wengine, GSM ni kit supplier wa Yanga na mfadhiri mkuu kwa sasa ambae muda wowote ataenda kupata umiliki wa hisa za umiliki wa club
Team zingine ikiwemo Simba ina mikataba na kit supplier wa makampuni mengine, let's say Vunjabei anadhamini Simba na polisi kama sikosei, Leo hii akakae kwenye jersey moja na kit supplier wa team ingine we huoni kama kuna mgongano wa kimaslahi? Umewahi kuwaona Adidas na Nike kwenye jersey 1?
Kingine katiba ya TFF imeelezea vizuri kabisa juu ya mdhamini Mkuu wa ligi anatakiwa kukaa wapi kwenye jersey za team zote zinazoshiriki ligi kuu bara, na hakuna sehemu inamtaka mdhamini mwenza akae kwenye jersey, hii ya safari hii imetokea wapi?
GSM sio wadhamini wenza wa kwanza kupatikana katika ligi ya Tanzania na hao hawajawahi kukaa kwenye jersey zaidi ya kwenye mabango na kutambulika tu kama wadhamini wenza imekuaje kwa GSM ikae kwenye jersey na katiba inatumika ile ile ya miaka yote?
Kinachoonekana kuna harufu ya rushwa imetumika ili kukiuka baadhi ya kanuni zao wao wenyewe na ndomana wakati watu wanaanza kuhoji uhalali wa udhamini huu TFF ilitoa tamko kuwa watu hawaruhusiwi kuhoji Kwani huo mkataba ni kati ya TFF na GSM
Ni kama vile GSM wamefanya kuikomoa Simba na kufurahisha mashabiki wao kwamba Simba amevaa nembo yetu na sioni kama kulikuwa na dhamira ya kweli ya kudhamini ligi na kama ingekuepo basi kanuni zingefatwa
Hakuna mahusiano ya moja kwa moja yaliyopo kati ya GSM kudhamini ligi na kuchukua ubingwa wa ligi kuu ila tatizo taratibu zinavunjwa ili tu GSM akae kwenye jersey ili iweje? Lengo hasa ni nini? Ukinijibu hayo maswali niliyouliza ndio nitaweza kujiweka namie kama ni miongoni mwa watanzania ambao hatuna Akili, ila ukishindwa basi utakuwa wewe ndio Mtanzania usie kuwa na Akili
Achana nae, wewe umemwambia yeye, yeye anaingiza mambo ya mama. Achana nae mkuu.Kwenye makalio ya bi mkubwa wako ndio itapendeza zaidi huku tukimsindikiza na mifinger mjegejo