mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Hao lao MOJA.EPL ipo chini ya FA kama independent structure na same applies to TPLB na TFF.
kama ni mkataba wao basi wanaweza kupewa hizo logo za GSM wakazivaa wao na mahawala zao na sio Simba.Tifufu walisema mktaba huo ni baina ya wao na gsm
Mbona Azam hamkulalamika, kama mnalalamika hapa inabidi malalamike na Azam sababu tofauti na hapo ni double standards za ajabu.
sio uso tuu hata kwenye nyapu za wake zao wabandike tuuWapi ulishawahi kuona jezi ya yanga au Simba imeandikwa Azam? We dhamini ligi haya matakataka yako ya nembo bandikeni kwenu hata kwenye uso
Duuuuh🤣🤣🤣🤣kama ni mkataba wao basi wanaweza kupewa hizo logo za GSM wakazivaa wao na mahawala zao na sio Simba.
kwani wao hawana bega la kushoto???
Kweli mmepagawa, yaani mmekuwa watu wa matusi, kulalamika na kulialia, yote hii inaonesha jinsi mlivyo wachovu uwanjani kwaio mnatafuta sababu ionekane mnaonewa/mnahujumiwaona hii mbwa, azamu ana logo ambazo zinapaswa kuvaliwa???
Kwa akili ya kawaida tu unaweza toa 2B ili uchukue ubingwa wa 500M?Baada ya kukosa ubingwa mara Nne mfululizo, Engineer ameona njia ya mkato ni Kuhonga TFF.
Halafu TFF wanapiga mkwara hakuna kuhoji mkataba wa TFF na GSM
Nakumbusha tu kuwa Mawakili wa Simba SC kwa Morrison kule CAS ndo watasimama katika hili NguvuMoja
Watu wana bwabwaja tu nmeuliza Simba ikivaa nembo ya GSM watacheza chini ya kiwango? au huo udhamini una uhusiano gani na matokeoUdhamini wa GSM KWENYE ligi utawasaidia vipi yanga kuchukua ubingwa?
Hapa upuuzi wa Yanga upo wapi ww fala?Yanga inaendeshwa kihuni wameshindwa kutafuta hata mwanasheria awasaidie huo upuuzi wao usiokuwa na mbele wala nyuma.
Si wangeongozana pia na Haji, Nabi (Coach) na Mwamnyeto (Captain)
jitoeni kwenye ligiBaada ya kukosa ubingwa mara Nne mfululizo, Engineer ameona njia ya mkato ni Kuhonga TFF.
Halafu TFF wanapiga mkwara hakuna kuhoji mkataba wa TFF na GSM
Nakumbusha tu kuwa Mawakili wa Simba SC kwa Morrison kule CAS ndo watasimama katika hili NguvuMoja
Mtake msitakeWapi ulishawahi kuona jezi ya yanga au Simba imeandikwa Azam? We dhamini ligi haya matakataka yako ya nembo bandikeni kwenu hata kwenye uso
Simba ni kubwa kuliko TFF utaona mwenyewe na hawafanywi lolote na kuvaa hawavaiMtake msitake
Manara umehamia huku mpaka matusi tenaHapa upuuzi wa Yanga upo wapi ww fala?
Mambo ya Gsm na Tff hayo wew unakurupuka tu.
Mimi Simba,Yule yanga.Watu wana bwabwaja tu nmeuliza Simba ikivaa nembo ya GSM watacheza chini ya kiwango? au huo udhamini una uhusiano gani na matokeo
Ulienda shule kusomea ujinga. Watu wengine bana wapuuuzi sanaMbona Azam hamkulalamika, kama mnalalamika hapa inabidi malalamike na Azam sababu tofauti na hapo ni double standards za ajabu.