Je, Ni Kweli Ukifika Kileleni Unakuwa Mwepesi?

Je, Ni Kweli Ukifika Kileleni Unakuwa Mwepesi?

Hello guys, guys, guys! 😄

Wale wapenzi wa sex, watu wa maloveee... ❤️
Wale wa utamuuuu... 😅

Kuna msemo ambao nimekuwa nikisikia mara kwa mara: "Nimekojoa, nikawa mwepesi."

Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm), unajihisi mwepesi?

Je, kabla ya hapo huwa unakuwa mzito au ni hisia tu zinazotokana na mwili kupumzika baada ya mshindo?

Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana nayo?

Umewahi kusex na mtu na usifike kilele ? Ulijisikiaje ?
Au hujawahi kufika kabisa mwanetu!

ShesRise_1 ✋️
Kulombana sio anasa
Mnadanganya umri kwenye kujiunga humu siyo?
 
Siamini Poor Brain unajenga mdogo wangu😅
Alafu usiseme sana kwa watu kuwa nauza tomato... 🤣🤣🤣🤣
Kwa sasa Mungu kajalia nina begi langu kubwa huwa natoka hapa gongo la mboto asubhi najaza vinambaa, ubuyu na karanga naenda shule za msingi kule chanika... Nauza.
Sa nane nishamaliza narudi kijiweni safi naanza kubishana kuhusu dini.
 
So tomato umeacha mdogo wangu
Hongera aisee hujakaa kizembe
 
Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm),
unajihisi mwepesi?
Ina maana hujawahi kukojozwa😳 Bro Stroke kakucheki pm umeifunga alitaka kukuonesha utamu wake😉.
Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika
mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Kama mwanamke mzuri unajipa pongezi(Kama umepewa ride kwenye V8 ukiwa unatoka shambani )lakini kama sura kama babu Wasira. Utaishia kujilaumu tu🤣🤣
 
Kwa sisi Wanaume, jibu ni ndiyo. Tukifika mshindo, tunakuwa wepesi

Na ukifanikiwa kwenda round 3 ama zaidi, ndiyo unakuwa mwepesi zaidi hadi kupelekea kukosa nguvu za miguu

Kwa maana kwenye kila round, unachoma calories nyingi

Kwa wanawake, wao wenyewe wanaweza kuleta ushahidi, japo inasemekana ni wanawake wachache ndiyo hufika kileleni kutokana na sababu zao za kusumbuliwa na Vikoba vyao 🤪
😂😂😂 kikoba kinakwamisha watu wasifike
 
Ina maana hujawahi kukojozwa😳 Bro Stroke kakucheki pm umeifunga alitaka kukuonesha utamu wake😉.

Kama mwanamke mzuri unajipa pongezi(Kama umepewa ride kwenye V8 ukiwa unatoka shambani )lakini kama sura kama babu Wasira. Utaishia kujilaumu tu🤣🤣
Sijui hata umeongea vitu gani hebu nawa uso halafu soma tena kuna kila dalili kwa comment yako una njaa
 
Back
Top Bottom