Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha,simpo maelezo yasiwe mengi😋😋😋😅
Mnadanganya umri kwenye kujiunga humu siyo?Hello guys, guys, guys! 😄
Wale wapenzi wa sex, watu wa maloveee... ❤️
Wale wa utamuuuu... 😅
Kuna msemo ambao nimekuwa nikisikia mara kwa mara: "Nimekojoa, nikawa mwepesi."
Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm), unajihisi mwepesi?
Je, kabla ya hapo huwa unakuwa mzito au ni hisia tu zinazotokana na mwili kupumzika baada ya mshindo?
Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Ni hisia gani au tukio gani linaweza kufanana nayo?
Umewahi kusex na mtu na usifike kilele ? Ulijisikiaje ?
Au hujawahi kufika kabisa mwanetu!
ShesRise_1 ✋️
Kulombana sio anasa
Nyooka unataka kusemaje?Mnadanganya umri kwenye kujiunga humu siyo?
Hukupaswa kuwa macho muda huu.Nyooka unataka kusemaje?
Umekurupuka sana mkuuHukupaswa kuwa macho muda huu.
Kesho shule
MuoneHahahaha,simpo maelezo yasiwe mengi
View: https://vm.tiktok.com/ZS4aVCByE/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
HahahahaMuone
Fanya jambo la kiko basi mjukuu 🤭Poleee
Nilijua umelala 🤣🤣Fanya jambo la kiko basi mjukuu 🤭
Alafu usiseme sana kwa watu kuwa nauza tomato... 🤣🤣🤣🤣Siamini Poor Brain unajenga mdogo wangu😅
So tomato umeacha mdogo wanguAlafu usiseme sana kwa watu kuwa nauza tomato... 🤣🤣🤣🤣
Kwa sasa Mungu kajalia nina begi langu kubwa huwa natoka hapa gongo la mboto asubhi najaza vinambaa, ubuyu na karanga naenda shule za msingi kule chanika... Nauza.
Sa nane nishamaliza narudi kijiweni safi naanza kubishana kuhusu dini.
Ina maana hujawahi kukojozwa😳 Bro Stroke kakucheki pm umeifunga alitaka kukuonesha utamu wake😉.Hivi ni kweli kwamba ukishafika kileleni (orgasm),
unajihisi mwepesi?
Kama mwanamke mzuri unajipa pongezi(Kama umepewa ride kwenye V8 ukiwa unatoka shambani )lakini kama sura kama babu Wasira. Utaishia kujilaumu tu🤣🤣Na swali lingine kwa uzoefu wenu, raha ya kufika
mshindo (orgasm) mnaweza kuilinganisha na nini?
Tulia wewe🤒🤣🤣Hiyo sana kwa upande gani sasa sijaelewa 🤭
UchoyoooTulia wewe🤒🤣🤣
😂😂😂 kikoba kinakwamisha watu wasifikeKwa sisi Wanaume, jibu ni ndiyo. Tukifika mshindo, tunakuwa wepesi
Na ukifanikiwa kwenda round 3 ama zaidi, ndiyo unakuwa mwepesi zaidi hadi kupelekea kukosa nguvu za miguu
Kwa maana kwenye kila round, unachoma calories nyingi
Kwa wanawake, wao wenyewe wanaweza kuleta ushahidi, japo inasemekana ni wanawake wachache ndiyo hufika kileleni kutokana na sababu zao za kusumbuliwa na Vikoba vyao 🤪
Sijui hata umeongea vitu gani hebu nawa uso halafu soma tena kuna kila dalili kwa comment yako una njaaIna maana hujawahi kukojozwa😳 Bro Stroke kakucheki pm umeifunga alitaka kukuonesha utamu wake😉.
Kama mwanamke mzuri unajipa pongezi(Kama umepewa ride kwenye V8 ukiwa unatoka shambani )lakini kama sura kama babu Wasira. Utaishia kujilaumu tu🤣🤣