DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,306
- 5,036
Nikifika kileleni najambaa
Ahahahahaha nakaza,napambana aiseeee acha kabisaSo tomato umeacha mdogo wangu
Hongera aisee hujakaa kizembe
Mbaga anafaidiNikifika kileleni najambaa
SafiiiiAhahahahaha nakaza,napambana aiseeee acha kabisa
Sema ndo ivo limekuja na wazo lingine la kusambaza machungwa sema hii project wenzangu wamenitishia wamsema nikianza tuu hayo mambo wananitengaSafiiii
Ilaaa nilijua umeacha 🤣🤣🤣Sema ndo ivo limekuja na wazo lingine la kusambaza machungwa sema hii project wenzangu wamenitishia wamsema nikianza tuu hayo mambo wananitenga
Kwenye kirusi cha jamiii...nisije kuwa kirusi cha jamii bure ahahahahhIlaaa nilijua umeacha 🤣🤣🤣
Njoo basi kuna sehemu nimekutag mdogo wangu
Jamanii, fanya kuniamini etiHata kwa viboko
Nakuamini hujawahi mahi😊Jamanii, fanya kuniamini eti
Mbona kikoba 🤣😂😂😂 kikoba kinakwamisha watu wasifike
🔥🔥Huu Uzito nifanye mpango sasa
Mwanaume anakata pumzi na kulegea🤣🤣Mwanamke anakuwa mwepesi na mwanaume anakata pumzi na kulegea
Ndo hivo dada au ni mimi tuMwanaume anakata pumzi na kulegea🤣🤣
Hata sijui kwani huna mazoezi?Ndo hivo dada au ni mimi tu
Mazoezi huwa sifanyi labda kutembea tuHata sijui kwani huna mazoezi?
Huwa natembea almost 0.5km per day je haya pia yatakuwa mazoezi?Hata sijui kwani huna mazoezi?
Mazoezi ya kukimbia huwa nakata moto mapemaHata sijui kwani huna mazoezi?
Kutembea pia ni mazoezi sasa sijui unatambea umbali ganiMazoezi huwa sifanyi labda kutembea tu
Sio mbaya piaHuwa natembea almost 0.5km per day je haya pia yatakuwa mazoezi?