Je, Ni kweli uume usiotahiriwa ni 'mtamu' zaidi panapo '6 kwa 6'?

Je, Ni kweli uume usiotahiriwa ni 'mtamu' zaidi panapo '6 kwa 6'?

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
349
Wadada/wamama wengi wanadai 'covered penis' japo haifai ktk mambo mengine yenye relation na s.e.x,kwenye majambozi (real action) ni 'tamu' zaidi kuliko 'uncovered ones'.Je, hoja hii ina ukweli wowote kitaalam au ndo hivyo tena mambo ya kitaa? Wataalam tuwekeeni sawa mambo haya.
 
Mkuu Kampeni ya Serikali hujaisikia kabisa?
Hata Rais anasema imethibitika tohara inasaidia
kuzuia Maambukizi ya VVU

Yaani hadi leo bado unatujuza tu Masweta.
 
Kuna siku tulikuwa ofisinii, topic was kuhusu magonjwa yasiyopewa kipaumbele yaani NTD, mabusha na matende yakiwemo. ilikuwa ni maongezi ya muda kidogo akina dada na akina mama walionekana kuvutiwa zaidi na maongezi yale. Daktari mmoja, MD alitokea na kuingilia zile story na alihiimisha kuwa tafiti zinaonesha kuwa wanawake wengi wana-enjoy zaidi wakifanywa na mtu mwenye govi kuliko aliiyetahiriwa kwani ile ngozi inakuwa inawasugua ovyo ovyo na hivyo wanasikia raha zaidi akaenda mbali zaidi kuwa hata wenye busha naao waanapendwa kwa sababu kile kitenesi huwa kinawaparaza mapajani hivyo ku-enjoy zaidi. katika jamii za kimasai wengi wao wanatahiriwa na kuachwa sehemu fulani ya nyama ili kusaidia kumkuna vema mwanamke wakati wa tendo hata mie nieachwa nacho kinasaidia kwa kweli!

Hata hvy alikiri kuwa ubaya wa govi ni ile kuhifandhi uchafu na hivyo kuzalisha bakteria wanaoweza kusababisha magonjwa!
 
Ni kweli kabisa kuwa wanawake wanafurahi zaid wakigegedwaa na wenye govi. Kuna sababu nyingi. Kwanza govi linahifadhi sensitivity ya kichwa. Kwa hiyo mwenye govi anafannya kwa utamu na hamasa zaid. Hiyo hamasa inaongeza mzuka kwa mama.

Kuwa govi linahifadhi bacteria inategemeana na personal hygiene ya mtu. Ni sawa na kinywa au ----. Ieleweke kuwa Mungu asingeliweka hilo govi angejua ni hatari kwa maisha ya binadamu.

Mimi sisapoti kampeni ya kutahiri eti kuzuia ukimwi. This is very misleading because it gives a wrong impression kuwa eti aliyetahiriwa hapati UKIMWI. Hata matokeo ya tafiti za kisayansi ziko very divided on this issue. Je UKIMWI ni kidogo kwenye jamii zenye utamaduni wa kutahiri kuliko jamii nyingine? Jibu halihitaji utafiti wa kisayansi.
 
Ni tamu xana kusuguliwa na mwenye govi. Nadata kabisa kuliko aliyetoa.
 
Wadada/wamama wengi wanadai 'covered penis' japo haifai ktk mambo mengine yenye relation na s.e.x,kwenye majambozi (real action) ni 'tamu' zaidi kuliko 'uncovered ones'.Je, hoja hii ina ukweli wowote kitaalam au ndo hivyo tena mambo ya kitaa? Wataalam tuwekeeni sawa mambo haya.
acha kulihalalisha hilo sweta lako nenda katoe mkuu kabla hujakimbiwa halafu uje tena ulalamike
 
Nijuavyo wenye magovi hawana pia confidence ya mapenzi wanakasumba ya kuficha "vyombo" panapo 6 kwa 6. bora kulitoa tu
 
Ni kweli kabisa kuwa wanawake wanafurahi zaid wakigegedwaa na wenye govi. Kuna sababu nyingi. Kwanza govi linahifadhi sensitivity ya kichwa. Kwa hiyo mwenye govi anafannya kwa utamu na hamasa zaid. Hiyo hamasa inaongeza mzuka kwa mama.

Kuwa govi linahifadhi bacteria inategemeana na personal hygiene ya mtu. Ni sawa na kinywa au ----. Ieleweke kuwa Mungu asingeliweka hilo govi angejua ni hatari kwa maisha ya binadamu.

Mimi sisapoti kampeni ya kutahiri eti kuzuia ukimwi. This is very misleading because it gives a wrong impression kuwa eti aliyetahiriwa hapati UKIMWI. Hata matokeo ya tafiti za kisayansi ziko very divided on this issue. Je UKIMWI ni kidogo kwenye jamii zenye utamaduni wa kutahiri kuliko jamii nyingine? Jibu halihitaji utafiti wa kisayansi.
je unajua Mungu aliagiza Ibrahim na watu wakiume wa nyumba yake watahiriwe? Hilo govi linabeba vijimelea vya magonjwa kirahisi halafu na Hii kansa ya mlango wa kizazi Unaweza kuisababisha kwa kuhamisha HPV kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine.
 
Back
Top Bottom