Je, Ni kweli uume usiotahiriwa ni 'mtamu' zaidi panapo '6 kwa 6'?

je unajua Mungu aliagiza Ibrahim na watu wakiume wa nyumba yake watahiriwe? Hilo govi linabeba vijimelea vya magonjwa kirahisi halafu na Hii kansa ya mlango wa kizazi Unaweza kuisababisha kwa kuhamisha HPV kutoka kwa mwanamke mmoja hadi mwingine.

Very weak arguments!! The mouth, vagina, nostril, etc do also carry dangerous microorganisms!!
 
Mkuu umegusia Mungu kwamba kama govi halitakiwi mbona aliliumba.Kumbuka Mungu huyohuyo aliagiza kwenye Biblia kwamba watu wawe wanakatwa magovi,na alienda mbali zaidi kwa wayahudi kwa kuwaambia kwamba atakaekaidi kumkata govi ya sunga mtoto wake,basi Mungu atamuua mtoto huyo! Hivyo kukata govi ni agizo la Mungu si mwanadamu tu.
 
kumbe ni under16 nenda bac FB huku hakukufai
Kwani hili ni jukwaa la wakubwa tu? Mimi nadhani hapa kwa "JF daktari" kunatufaa hata sisi ambao vichuchu vinaanza kuchomoza kifuani, kumbe sivyo!
 
I concur...kwa aliyeuliza swali akitaka kujua ladha ya govi afikirie wanyama kama mbwa, ng'ombe au punda....kitu kinatoka kizima then kinashushwa ndani....atafute mbona wapo wengi....LOL

Mambo mengine haya...... tungekuwa tunaachwa mpaka tuwe watu wazima ili tuchague wenyewe aina ya maisha tunayotaka kuishi....kwani yale maumivu ya tohara somehow yana-retard hata growth ya dushelelee....kitu hichoo...mtu mpaka anarudisha hela...kulaa leki..
 
Serikali inafanya kampeni kwa tohala kwa wanaume, wakati Airtel Money wanasema : HAKATWI MTU HAPA: sijui tufuate lipi? Ila nchi za kusini mwa Africa, Zambia, Malawi, Zimbambwe ni AirTel Money.

Body without head
 
Kwani hili ni jukwaa la wakubwa tu? Mimi nadhani hapa kwa "JF daktari" kunatufaa hata sisi ambao vichuchu vinaanza kuchomoza kifuani, kumbe sivyo!

Ndio vinaanza? utakomaa mapema mdogo wangu, hata cjui uingie wapi labda uwe unacheck matangazo madogomadogo, jokes, siasa kwa kuwa unasoma darasani na technology kama wapenda mambo ya IT.

uSIBISHANE NA WAKUBWA HUMU UNAWEZA KULIA WAKIKUAMULIA. uSIWAJIBU WAKUBWA SAWA MDOGO WANGU?
 
Madame B ebu njoo pande hii utoe mchango, me cjawahi kutana na govi bado.
 
Last edited by a moderator:

Kumbe ndo mana wanasema ya masai tamu zaid eeh! Ngja nianze kujipendekeza niujue utam wa ngoma
 
Very weak arguments!! The mouth, vagina, nostril, etc do also carry dangerous microorganisms!!
tunaangalia kiasi cha hatari kwa kulinganisha matokeo ya hao vijimelea husika. So hilo govi likibeba wadudu na saa zingine sperms za mwanaume mwenzio toka kwa mwanamke uliyelala nae huko ukamletea mwanamke wako ni sawa tu kwako?
 
Duuuuuuuuuh! Unafaa kwa ushauri nasaha!
 
tunaangalia kiasi cha hatari kwa kulinganisha matokeo ya hao vijimelea husika. So hilo govi likibeba wadudu na saa zingine sperms za mwanaume mwenzio toka kwa mwanamke uliyelala nae huko ukamletea mwanamke wako ni sawa tu kwako?

Still very weak and mediocre arguments!!
 
Tripple H inaonekana wewe ni mfurukutwa na mpinzani wa kampeni dhiti ya Mkono Sweta!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…