We ni liccmHata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
Hata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
Hata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
Hayo maelezo ya kwenye karatasi unayàamini au unalinganisha na matendo??Actualy Nope, CIA is so so independent from hivyo vyama. Is why wanakindwa kikatiba
Kwanza national Security Act of 1947, pamoja na marekebisho yake inaweka CIA katika jukumu la kukusanya, kutathmini na kusambaza foreign intelligence, si kuendesha siasa za ndani. Sheria ya sasa, 50 U.S.C. §3036, inaeleza majukumu ya Director wa CIA.
Executive Order 12333 — inaelekeza intelligence community kutoa taarifa sahihi kwa Rais na National Security Council na inasisitiza intelligence iwe kwa ajili ya national security. Pia inasema special activities/covert action hazikusudiwi kuathiri U.S. political processes, public opinion, policies, or media.
Hatch Act / 5 U.S.C. §7323 inazuia wafanyakazi wa serikali kutumia mamlaka au nafasi zao kuingilia uchaguzi au kuathiri matokeo ya uchaguzi.
CIA yenyewe inaeleza kwamba kazi yake ni kutoa objective intelligence, na kwamba CIA haifanyi politics ; politics inaamuliwa na viongozi wa kisiasa.
Apson (RIP) alikuwa kichwa sana yule mzee, na alikuwa positive. Muundo wa TC sasa hivi unafungua milango mingi kutumika vibaya ( una matundu ambayo watu wanaweza yatumia kwa faida zake ndio kama hivyo CCM wanavyotumia ).
Kwa namna ingine TC ni nzuri sana na ina watu vichwa kweli kweli, ila mfumo unavyokiendesha umepitwa na wakati 🥴🥴🥴🥴
Hilo ndo tatizo haswaaaYUVISISIEMU wengi wapo TEETH.
Umesema ukweli na ukweli umeekuweka huruTUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS hakuna CCM
Ndiyo maana nchi imeharibika ,uki challenge maendeleo ya nchi YUVISISIEMU wanakupoteza na ndiyo yule Kichwa maji wa BUKOBA aliwaambia live polisi kwamba wakiwapoteza wanaharakati/wakosoaji wasiwatafute.Hilo ndo tatizo haswaaa
Bila kuwa CCM huendi jeshi huendi Teeth
Ndio bila kua Mkatoriki huendi kusoma Seminari, mfumo ndio huoHilo ndo tatizo haswaaa
Bila kuwa CCM huendi jeshi huendi Teeth
Bila kuwa CCM huendi jeshi huendi Teeth
Hakuna anayebisha kule TISS kumejaa makada wa CCM ambao wanatetea chama chaoTUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS hakuna CCM
USiangalie huyo mtu angalia process yake ilimhusisha nani.haya mawazo ya kishamba huwa mnayatoa wapi ?
mimi nawajua watu ambao hawajawahi hata kuwa na rafiki mwanaccm achilia mbali wao wenyewe kuwa wanaccm ambao wanafanya kazi kwenye vyombo vya ulinzi na ofisi za umma.
so what gentleman?TUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS hakuna CCM
Polisi ni CCM na CCM ni Polisi!TUKUMBUSHANE KIDOGO: