Actualy Nope, CIA is so so independent from hivyo vyama. Is why wanakindwa kikatiba
Kwanza national Security Act of 1947, pamoja na marekebisho yake inaweka CIA katika jukumu la kukusanya, kutathmini na kusambaza foreign intelligence, si kuendesha siasa za ndani. Sheria ya sasa, 50 U.S.C. §3036, inaeleza majukumu ya Director wa CIA.
Executive Order 12333 — inaelekeza intelligence community kutoa taarifa sahihi kwa Rais na National Security Council na inasisitiza intelligence iwe kwa ajili ya national security. Pia inasema special activities/covert action hazikusudiwi kuathiri U.S. political processes, public opinion, policies, or media.
Hatch Act / 5 U.S.C. §7323 inazuia wafanyakazi wa serikali kutumia mamlaka au nafasi zao kuingilia uchaguzi au kuathiri matokeo ya uchaguzi.
CIA yenyewe inaeleza kwamba kazi yake ni kutoa objective intelligence, na kwamba CIA haifanyi politics ; politics inaamuliwa na viongozi wa kisiasa.