Je, ni kweli Vigogo wamewahi kukataa TISS kuwa taasisi huru inayoshughulikia usalama wa taifa Pekee?

Actualy Nope, CIA is so so independent from hivyo vyama. Is why wanakindwa kikatiba

Kwanza national Security Act of 1947, pamoja na marekebisho yake inaweka CIA katika jukumu la kukusanya, kutathmini na kusambaza foreign intelligence, si kuendesha siasa za ndani. Sheria ya sasa, 50 U.S.C. §3036, inaeleza majukumu ya Director wa CIA.

Executive Order 12333 — inaelekeza intelligence community kutoa taarifa sahihi kwa Rais na National Security Council na inasisitiza intelligence iwe kwa ajili ya national security. Pia inasema special activities/covert action hazikusudiwi kuathiri U.S. political processes, public opinion, policies, or media.

Hatch Act / 5 U.S.C. §7323 inazuia wafanyakazi wa serikali kutumia mamlaka au nafasi zao kuingilia uchaguzi au kuathiri matokeo ya uchaguzi.

CIA yenyewe inaeleza kwamba kazi yake ni kutoa objective intelligence, na kwamba CIA haifanyi politics ; politics inaamuliwa na viongozi wa kisiasa.
Hapa mmebase kwa CIA.
Tupe majukumu ya secret service na NSA.
 
Well said '
 
Apson (RIP) alikuwa kichwa sana yule mzee, na alikuwa positive. Muundo wa TC sasa hivi unafungua milango mingi kutumika vibaya ( una matundu ambayo watu wanaweza yatumia kwa faida zake ndio kama hivyo CCM wanavyotumia ).

Kwa namna ingine TC ni nzuri sana na ina watu vichwa kweli kweli, ila mfumo unavyokiendesha umepitwa na wakati 🥴🥴🥴🥴
Taasisi ikikosa autonomy yenye misingi ya kikatiba inakosa maana , kwa sababu hata baadhi ya recruitments zinakuwa kubebwa na kuwaacha wenye sifa stahiki, imagine hali inakuawaje
 
TUKUMBUSHANE KIDOGO:

Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS hakuna CCM
Porojo za uzushi tu hizo, kawadanganye huko kijiweni kwenu!
 
Hata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
CIA hailindi vyama.

Inalinda maslahi ya OLIGARCHS wa Marekani.

Hata kama ni kulinda vyama, inapaswa kulinda vyama vyote kwasababu vipo, kwa makubaliano halali yetu wenyewe.

Halafu unatakiwa kujua Marekani hakuna vyama 2, pekee.
 
TUKUMBUSHANE KIDOGO:

Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS hakuna CCM
Kuna watu wasingekuwa kwenye hizo nafasi leo
 
Back
Top Bottom