hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,439
- 2,442
CIA wanasimamia vile vyama ,ndio maana ikifika uchaguzi wale jamaa hata hawahangaiki wao ndio wakati WA kulala, tiss wanalinda, Kuna tofauti kubwa Kati ya kulinda Na kusimamiaHata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
H
Hayo maelezo ya kwenye karatasi unayàamini au unalinganisha na matendo??
Sio kwa CCM hii.Hata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
Hapa mmebase kwa CIA.Actualy Nope, CIA is so so independent from hivyo vyama. Is why wanakindwa kikatiba
Kwanza national Security Act of 1947, pamoja na marekebisho yake inaweka CIA katika jukumu la kukusanya, kutathmini na kusambaza foreign intelligence, si kuendesha siasa za ndani. Sheria ya sasa, 50 U.S.C. §3036, inaeleza majukumu ya Director wa CIA.
Executive Order 12333 — inaelekeza intelligence community kutoa taarifa sahihi kwa Rais na National Security Council na inasisitiza intelligence iwe kwa ajili ya national security. Pia inasema special activities/covert action hazikusudiwi kuathiri U.S. political processes, public opinion, policies, or media.
Hatch Act / 5 U.S.C. §7323 inazuia wafanyakazi wa serikali kutumia mamlaka au nafasi zao kuingilia uchaguzi au kuathiri matokeo ya uchaguzi.
CIA yenyewe inaeleza kwamba kazi yake ni kutoa objective intelligence, na kwamba CIA haifanyi politics ; politics inaamuliwa na viongozi wa kisiasa.
Well said 'Actualy Nope, CIA is so so independent from hivyo vyama. Is why wanakindwa kikatiba
Kwanza national Security Act of 1947, pamoja na marekebisho yake inaweka CIA katika jukumu la kukusanya, kutathmini na kusambaza foreign intelligence, si kuendesha siasa za ndani. Sheria ya sasa, 50 U.S.C. §3036, inaeleza majukumu ya Director wa CIA.
Executive Order 12333 — inaelekeza intelligence community kutoa taarifa sahihi kwa Rais na National Security Council na inasisitiza intelligence iwe kwa ajili ya national security. Pia inasema special activities/covert action hazikusudiwi kuathiri U.S. political processes, public opinion, policies, or media.
Hatch Act / 5 U.S.C. §7323 inazuia wafanyakazi wa serikali kutumia mamlaka au nafasi zao kuingilia uchaguzi au kuathiri matokeo ya uchaguzi.
CIA yenyewe inaeleza kwamba kazi yake ni kutoa objective intelligence, na kwamba CIA haifanyi politics ; politics inaamuliwa na viongozi wa kisiasa.
Taasisi ikikosa autonomy yenye misingi ya kikatiba inakosa maana , kwa sababu hata baadhi ya recruitments zinakuwa kubebwa na kuwaacha wenye sifa stahiki, imagine hali inakuawajeApson (RIP) alikuwa kichwa sana yule mzee, na alikuwa positive. Muundo wa TC sasa hivi unafungua milango mingi kutumika vibaya ( una matundu ambayo watu wanaweza yatumia kwa faida zake ndio kama hivyo CCM wanavyotumia ).
Kwa namna ingine TC ni nzuri sana na ina watu vichwa kweli kweli, ila mfumo unavyokiendesha umepitwa na wakati 🥴🥴🥴🥴
Hizo exceptions haziifanyi general rule kutokuwa general ruleunachokisema sio general rule, lazima utambue uwepo wa exceptions.
Porojo za uzushi tu hizo, kawadanganye huko kijiweni kwenu!TUKUMBUSHANE KIDOGO:
Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS hakuna CCM
We linyumbuWe ni liccm
LINYUMBU LIMAMA, LIBABAKO, LIMUMEOWe linyumbu
CIA hailindi vyama.Hata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
Huyo jamaa ni short sighted anaangalia mambo kwa ufinyu sanaUSiangalie huyo mtu angalia process yake ilimhusisha nani.
Mtoto anaweza sio muumini sana wa CCM ila mzazi.
Si kweliHata CIA inalinda vyama vyake viwili vya kimkakati.
Kuna watu wasingekuwa kwenye hizo nafasi leoTUKUMBUSHANE KIDOGO: