Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.

Hivi, mkichepuka au mkabadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
  1. Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)

  2. Utulivu halafu mnanogewa na utamu wa mapenzi

  3. Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili

  4. Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu

  5. Au ni tabia mbovu tu za kihuni

Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.
 
Wanaume tumeumbwa hivyo, tunatamani kila sehemu kuweka alama, kikubwa ni namna tunavyojikaza tu na nafsi zetu.

Heshima kuu duniani kwa mwanaume ni mbili pesa na uanaume..
Kuna muda unatamani tu umkamate mtoto wa mtu, umkunje, umpige MUCHINGA, amalize vilio vyote, atetemeke kama jenereta bovu, ukimaliza apitiwe na usingizi mzito, ama akishuka kwenda kukojoa anapepesuka kidogo, mwili hauna nguvu vizuri... Anajichekesha na kusema halafu wewe.
Pale bichw alinakuwa kama DUMU.
😂🤣
 
Wanaume tumeumbwa hivyo, tunatamani kila sehemu kuweka alama, kikubwa ni namna tunavyojikaza tu na nafsi zetu.
Yani mmeumbwa wadhaifu kiasi hicho? au mnaichukulia hii kama sifa?
Heshima kuu duniani kwa mwanaume ni mbili pesa na uanaume..
Kuna muda unatamani tu umkamate mtoto wa mtu, umkunje, umpige MUCHINGA, amalize vilio vyote, atetemeke kama jenereta bovu, ukimaliza apitiwe na usingizi mzito, ama akishuka kwenda kukojoa anapepesuka kidogo, mwili hauna nguvu vizuri... Anajichekesha na kusema halafu wewe.
Pale bichw alinakuwa kama DUMU.
😂🤣
Sasa si uwe unamkamata hivyo mkeo? au mkishawaoa habari za kutetema kama jenereta hawataki tena 🤣
 
Yani mmeumbwa wadhaifu kiasi hicho? au mnaichukulia hii kama sifa?

Sasa si uwe unamkamata hivyo mkeo? au mkishawaoa habari za kutetema kama jenereta hawataki tena 🤣
Ofcz ni sifa, ndio maana mwanaume mwenye matatizo ya mguvu za kiume anakuwa desparate kuliko asiekuwa na hela...
Mke wangu tayari ameshajua uwezo, sasa na wengine tunawalambisha pipi ya kijiti, ili wote wafaidi.
 
Mami unaweza usijue ila ghafla tu baba Uswege Mwachiluwi anakukalisha kitako anakwambia anataka kukuletea katoto usaidie kukalea aliteleza.
Mama weeeee🤭🤭🤭🤭 genye zote zitaniisha aisee,Baba Uswege Mwachiluwi usinifanyie hivyo tafadhali,matatizo yako malizana nayo mwenyewe Tu babaangu,siwezi kulea nje cup wakati na Mimi ndani nina kizazi!!!😎😎😎😎
 
Back
Top Bottom