Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Mwanamke mwembamba na mnene Wana ladha tofauti
Mwanamke mweupe na mweusi Wana ladha tofauti
Mwanamke mrefu na mfupi Wana ladha tofauti
Mwanamke mwenye umri mkubwa ana ladha tofauti na mwenye umri mdogo
Mwanamke wa kienyeji na wa kisasa Wana ladha tofauti
Mwanamke mwenye kipochi kilichochanua ana ladha tofauti na ambae ana kipochi kisichochanua
Mwanamke mwenye matikiti kuondoka ana ladha tofauti na madogo
Mwanamke mwenye vitufunyungu ana ladha tofauti na mwenye matufunyungu
 
Siku mkijua binadamu nayeye ni mnyama mtaacha kuuliza haya maswali!, binadamu kinachomchanganya na kumzuzua ni anapambana na asili mbili yani kuna muda anafuata tamaa za mwili na kuna muda anafuata utashi wa akili!.

Akili mambo yake ni kufuata sheria na tamaa hufuata hisia!, kinachoshinda ndio huwa kinachukua nafasi kwa muda huo. na ndio maana baadhi ya matendo mtu huyafanya halafu baadae akija kuulizwa hana majibu maana unauliza kitu kilichotumia tamaa kujibu jibu la mantiki!.

So yote kwa yote mi nionavyo kuna vitu hatujavifahamu bado na ndio maana ni ngumu kuwa perfect kwa asilimia mia moja, hiyo ni kwa utashi wetu ila kwa kilichoifanya asili yetu chenyewe ndo kinaona tupo sahihi!.

Tufanye tunayoyaweza kwa usalama hilo ndo lakuzingatia zaidi.
Siwezi tu kupin 📌 hii reply iwe ya kwanza kila mtu aione, ila asante umeelezea vizuri sana!
 
Ali
Nimejibiwa hapa ni “tabia mbovu tu”
Aliyekujibu hivyo kama mwanaume basi atakuwa ana kisukari,wivu unamsumbua.

Ukiwa mwanaume uliyekamilika,kutulia na mwanamke mmoja katika kipindi chote cha uhusiano inakuwa ngumu sana.

Sisi hatuna tofauti na mbwa dume. Mbwa dume akiona jike tu anawehuka akili na Kuna muda midume ya kutoka kimara,mburahati,tandika na goba inaweza kumfungia safari mbwa jike aliyepo chanika kisa kufuata uroda.

Hiyo ndiyo asili ya uanaume. Tunapenda dominance. Siyo uhuni.
 
Wanaume tumeumbwa hivyo, tunatamani kila sehemu kuweka alama, kikubwa ni namna tunavyojikaza tu na nafsi zetu.

Heshima kuu duniani kwa mwanaume ni mbili pesa na uanaume..
Kuna muda unatamani tu umkamate mtoto wa mtu, umkunje, umpige MUCHINGA, amalize vilio vyote, atetemeke kama jenereta bovu, ukimaliza apitiwe na usingizi mzito, ama akishuka kwenda kukojoa anapepesuka kidogo, mwili hauna nguvu vizuri... Anajichekesha na kusema halafu wewe.
Pale bichw alinakuwa kama DUMU.
😂🤣
Hii comment Niliiota🤔
 
Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.

Hivi, mkichepuka au mkibadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
  1. Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)

  2. Utulivu halafu mnanogewa

  3. Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili

  4. Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu

  5. Au ni tabia mbovu tu za kihuni

Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.
Tunapewa mk....nd, na kunyonywa mb...o, tunakula na kunachovya tunavotaka, tunapewa tunachotaka tunafanya tunavotaka

Tunachemshiwa maji ya kuoga na iliki twabebwa kwenda kuogeshwa na kubembelezwa twafuliwa, twanyooshewa nguo pasi, twapendeza, jumlisha vyote hapo juu ulivyoorodhesha
 
wanaume hawana sababu za muhimu za kufanya wakucheat
Bora niende zangu kucheat nipelekwe dubai
FFEA8419-83AF-4B75-9BDE-AB9ED6831E5B.jpeg
 
Back
Top Bottom