Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Je ni kweli vinyama vina ladha tofauti au sababu ya wanaume kuendelea kuchepuka ni ipi?

Wanaume ambao mko kwenye mahusiano nawaombeni hapa.
Jana kuna binti amekuja kwenye kikundi analia, mume wake amezalisha mtoto wa pili nje ya ndoa.

Hivi, mkichepuka au mkibadilisha hiyo michepuko kuwa nyumba ndogo za kudumu, huwa mnatafuta nini hasa kati ya hivi?
  1. Ladha tofauti za kipochi manyoya (zinazochochewa na tamaa na mihemuko ya hovyo)

  2. Utulivu halafu mnanogewa

  3. Utundu na ufundi wetu mishangazi au vibinti vya alfu mbili

  4. Faraja na amani mnayoikosa nyumba kuu

  5. Au ni tabia mbovu tu za kihuni

Elezea jibu lako kwa undani na ruksa kuchagua jibu zaidi ya moja.
Kinacho wafanya wanaume kuchepuka sio radha ya nyama bali ni kukosekana kwa amani utulivu na ushirikiano kwenye mahusiano mda mrefu.
 
Hao ni kama panya, lazma waingie kwenye vitobo....hakuna cha ajabu wala
giphy 22.GIF
 
Tunapewa mk....nd, na kunyonywa mb...o, tunakula na kunachovya tunavotaka, tunapewa tunachotaka tunafanya tunavotaka

Tunachemshiwa maji ya kuoga na iliki twabebwa kwenda kuogeshwa na kubembelezwa twafuliwa, twanyooshewa nguo pasi, twapendeza, jumlisha vyote hapo juu ulivyoorodhesha
Kwahiyo yapi hapa unafanyiwa na mkeo na yapi ya mchepuko?
 
Mimi nilinyimwa nyapu
Nikitaka kuila, napewa bila ushirikiano
Au napewa n lawama kilo mia mbili.

Nikaisusa, na kutoikumbuka
Na hakushtuka ndio akawa
Anawapa somo marafiki zake
Mpe mara moja kwa wiki au mnyome kabisa.

Nikakapata katoto, ka 2000 mtaa wa 7
Kananyumbulika na kanajua mapigo
Yaani nini unataka usipewe
Hakana tamaa , halafu kaelewa

Nimekuja kukaacha, baada ya vikao vya ukoo.
Ndio nimerudi gerezani, full kununiana.

Hii ndio sababu, hakuna nyingine
Kwa nini tunacheat
 
Mko tofauti sana wanawake. Niliwahi kulala na mwanamke wa kisukuma ile **** yake sielewi nilikua Kila Niki pump anakojoa maji flani hivi kama Bomba yananichapa tumboni kweli mpo tofauti sana huwezi a mini ilitoka kama Lita 1 hivi ikabidi nimwite mhudumu niongee nae na kumpa kitu kidogo ili isije kuleta rabsha pale hotelini.
 
Back
Top Bottom