Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Hapana, huwezi kulinganisha ila bado hujajibu swali langu la kwenye nyuzi.Je utamu wa embe unalingana na ule wa chungwa? Je utamu wa magimbi unalingana na utamu wa viazi? Je utamu wa mchicha unalingana na utamu wa kisamvu?