Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Yani mmeumbwa wadhaifu kiasi hicho? au mnaichukulia hii kama sifa?Wanaume tumeumbwa hivyo, tunatamani kila sehemu kuweka alama, kikubwa ni namna tunavyojikaza tu na nafsi zetu.
Sasa si uwe unamkamata hivyo mkeo? au mkishawaoa habari za kutetema kama jenereta hawataki tena 🤣Heshima kuu duniani kwa mwanaume ni mbili pesa na uanaume..
Kuna muda unatamani tu umkamate mtoto wa mtu, umkunje, umpige MUCHINGA, amalize vilio vyote, atetemeke kama jenereta bovu, ukimaliza apitiwe na usingizi mzito, ama akishuka kwenda kukojoa anapepesuka kidogo, mwili hauna nguvu vizuri... Anajichekesha na kusema halafu wewe.
Pale bichw alinakuwa kama DUMU.
😂🤣
Mami unaweza usijue ila ghafla tu baba Uswege Mwachiluwi anakukalisha kitako anakwambia anataka kukuletea katoto usaidie kukalea aliteleza.Wafanye yote lakini Mimi sitaki kujua nashea na mtu moyo huo Mimi sina!!!
Ofcz ni sifa, ndio maana mwanaume mwenye matatizo ya mguvu za kiume anakuwa desparate kuliko asiekuwa na hela...Yani mmeumbwa wadhaifu kiasi hicho? au mnaichukulia hii kama sifa?
Sasa si uwe unamkamata hivyo mkeo? au mkishawaoa habari za kutetema kama jenereta hawataki tena 🤣
Mbona ni majibu tofauti sana, yanawezaje kuapply kwa wakati mmoja?Yote ni majibu hapo juu.
Huyo amekujibu kweli tupu!Nimejibiwa hapa ni “tabia mbovu tu”
Siwezi mpelekea mtoto mke wangu mechi za njee nacheza vizuri 😂Mami unaweza usijue ila ghafla tu baba Uswege Mwachiluwi anakukalisha kitako anakwambia anataka kukuletea katoto usaidie kukalea aliteleza.
Kwa mantiki hiyo, mkeo naye akichepuka ni poa tu au mboga wabadili wewe tu?Hata jela hawali mboga moja kila siku.
Mama weeeee🤭🤭🤭🤭 genye zote zitaniisha aisee,Baba Uswege Mwachiluwi usinifanyie hivyo tafadhali,matatizo yako malizana nayo mwenyewe Tu babaangu,siwezi kulea nje cup wakati na Mimi ndani nina kizazi!!!😎😎😎😎Mami unaweza usijue ila ghafla tu baba Uswege Mwachiluwi anakukalisha kitako anakwambia anataka kukuletea katoto usaidie kukalea aliteleza.
Daaah kweli kazi ipo!Mke wangu tayari ameshajua uwezo, sasa na wengine tunawalambisha pipi ya kijiti, ili wote wafaidi.