Je, ni kweli Vumbi la Kongo linaongeza nguvu wakati wa kufanya mapenzi?

Je, ni kweli Vumbi la Kongo linaongeza nguvu wakati wa kufanya mapenzi?

kaka hyo kitu noma sana mm ni shuhuda nilikaa km lisaa napiga mfululizo bila kukojo,yaan mmmh unaeza ukakesh mpk asubh bila kuchoka baadae takutumia namba ya mshkaj aliyeniuzia,nilimpata humuhumu
Naitaka pia
 
Mnataka kumkomoa nani? Badala ya kuwafurahisha wapenzi wenu wataanza kuwakimbia.
 
Kabisa.

Vijana wa Leo wanataka hii kitu iwe Kama vita!?
Na ukiona mpenzi wako anatumia madawa ya kuongeza nguvu jua hakupendi anataka kukutesa eti masaa upo kifuani tu mbona nitakusukuma
 
Tatizo, nimeona wakongo fulani wanasema hiyo vumbi ukiizoea tu rungu yako haitaweza kuua hata sisimizi bila kulishwa hiyo vumbi.

Yaani rungu inakuwa tegemezi tena inakufa kabisa .

Kwa hiyo, itumieni tu matokeo na mrejesho wake utaujua mwenyewe baada ya miaka miwili ijayo.

Hata kukojoa mkojo wa kawaida utakuwa huwezi.

Endeleeni ivyo hivyo, matokeo mtayaona na mtafurahia hadi kukojoreshwa kama vitoto vidogo vya mwaka mmoja.
Kumbe hilo vumbi ni hatar kwa afya zetu mweeeeh
 
Habari waungwana

Kwa siku za hivi karibuni nimekua nikiskia vijana wengi wakizungumzia kuhusu vumbi ya Congo kwamba inaongeza pulinge pindi unapokutana na mpenzi wako kwenye kupeana raha za dunia

Je ni kweli Vumbi ya Congo ni kiboko ya kuongeza pulinge au ni maneno tu ya watu,na kama kweli je inapatikana maeneo gani kwa hapa Dar es salaam

Wazoefu naomba mnijuze
Usijitafutie maradhi
 
Kumbe hilo vumbi ni hatar kwa afya zetu mweeeeh

Hazifai.

Mwanamke anayependa kuwa kwenye game muda mrefu anafurahia game.

Ila, Kwa kijana madhara yake atayaona baada ya miaka miwili ijayo, maana hata kukojoa mkojo wa kawaida vijana wengi watakuwa hawawezi itabidi wakojoreshwe kama vitoto vidogo.

Ila Nikiandika hivi wauzaji wa vumbi wanaona nawapeperushia ndege wao. Lakini wao hawasemi madhara ya hizo dawa!!
 
Kama utapita mitaa ya tandika ukimkuta msela yoyote walioweka meza zile wanaouza uza viatu na nguonguo muulizie wapi unaweza kupata kilemba basi apo utakuwa umepata vumbi la kongo
 
Sawa, ila lazima INA side effect;!! kazi kwenu mnaofanya ngono kama jihad!!
 
Back
Top Bottom