Je, ni kweli Vumbi la Kongo linaongeza nguvu wakati wa kufanya mapenzi?

Je, ni kweli Vumbi la Kongo linaongeza nguvu wakati wa kufanya mapenzi?

Hiyo kitu naifahamu sana na wanaoileta ni madereva wa malori yaendayo Congo. Hilo vumbi kwa kifupi halina faida kwa mujibu wa mmoja ya watumiaji ni kwamba hiyo kitu ukipaka inadindisha dushe na kuitia ganzi, hali hiyo inafanya usimamie show kwa muda mrefu bila kukojoa lakin hakuna raha unayo pata kwasababu ya dushe kuwa na ganzi. Athari yake ni kwamba ukiendekeza inaua mishipa na inaweza fika kipindi huwezi kupiga show bila hilo vumbi kwasababu unapokua umepaka inafanya m.b.o.o kusimama kwa muda mrefu.
Hivyo wanawake hasa mabarabarani na Dar kama kuna siku umewahi kutana na mtu alikupelekesha ukataka hata urudishe pesa yake jua jamaa alitumia vumbi la Kongo au maarufu kama KASONGO
 
Me nawauziagaa wadifingii wanaipendaa balaaa teni tuu kwa kaketee kamojaa
 
nimeitumia iko vzr but haiongez ham wala kusimamish uume bali kukufnya ukae pale juu kwa zaid ya lisaa bila kutema kimiminika
Sasa kwa mfano dyudyu ikilala baada ya round ya kwanza vipi..huwa inawasaidia wale wenye tatizo
 
Ndo mnaokuja kulalamika mmepungukiwa nguvu za kiume baadae nyie! Kwa nini utumie madawa? Una matatizo gani? Kama huna tatizo lolote nakushauri achana na madawa.

Kula vizuri, fanya mazoez, pata muda wa kupumzika, utamkojoza mkeo hata mabao saba bila kutumia madawa
Hapo kwenye mazoezi napatilia sana mkazo. vijana fanyeni mazoezi vumbi hutakaa ulitamani
 
wengine inasimamisha wengine haisimamishi..ukweli ni upi?
 
kaka hyo kitu noma sana mm ni shuhuda nilikaa km lisaa napiga mfululizo bila kukojo,yaan mmmh unaeza ukakesh mpk asubh bila kuchoka baadae takutumia namba ya mshkaj aliyeniuzia,nilimpata humuhumu
Naomba nitumie namba yake pia pm mkuu
 
Daaah hiyo kitu nimetumia na wengi vijana wana au wametumiaa.

Binafsi kama miaka mitatu Hiv ilopita , ktk maujinga ya ujana kutaka kujaribu kila kitu,

I used it twice kwa msichana mmoja ambae ni famous kdgo jijini jina kapuun

Nlisukuma kamasi hadi nkitokea mbele ake anashtuka kma kama kaona ghost vilee

But ilinikera kitendo cha kushindwa kukojoa ili na mie npate raha ya kukuna, na ukifanya bhas jua kesho yake ni pain all of ur body as if umefanya zoezi zito saaana wakat ndo waanza tiziii

Uzuri wake ni kwa mwanamke anaependa kulast longer kwenye game, na pale unapofanikiwa kulileta kojo karibu aiseeeh utamshka huyo mwanamke kwa nguvu zaa ajab coz u feel that is the only chance ya kupata raha, kitu kitachomfanya mwanamke ajione mtaam n so special

Nashkuru nlifanikiwa kuacha kabisaaaa, coz for sure zina side effect, mapenz iz psychological, so ukishaiweka akili yako kwenye unga, bhas game hautaiweza bila ya hiyo kituuu


Piga mazoez, kula vyakula vya asili, mapumziko ya kutosha
Pooling itakuwa palepale tuu
 
Vumbi la Kongo
Kizizi cha Mkuyati
Kasongo Mundende
Magufuli wa Msambwanda

Zote ziko poa sana ila kali zaidi ni hyo ya mwisho, itafute mkuu hautojuta..
 
Taifa linaangamia kwa kukosa maarifa..
 
hyo inawafaa wanaume wa Dar baaada ya kule sijui ndio Zege mntumia na hyo
 
Back
Top Bottom