Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

Kwa hiyo wakristu wanapokula nyama iliyochinjwa na Ibadan ya kiislamu nasi tumeshiriki Ibadan ya wengije?


Tuache kulishana matango pori. Hiyo shekh nimeona clip yake na nimpotoshaji.

Mfano maiti ya kiislamu ikishaoshwa haipaswi kutizamwa tena wakati Kwa wakristu sivyo. Ndio maana tunaaga Kwa kuitizama maiti (kwetu sio kosa) na hata Kwa uislamu sio kosa.

Kwa waislamu sio kosa Kwa sababu wanaruhuaiwa kuiona kabla ya kuoshwa, so sio kosa kuona maiti.
 
Kinachozungumziwa ni kuaga sio kuzika..
Halafu Mambo ya tik tok sio kila mtu anatumia hiyo mitandao yenu unatuambatanishia hiyo video hapa..
Sawa ila utaagaje kama ibada haijaaza katika ibada kuna mtirirko wa ibada kwahy lazima ushiriki ibada ndipo uuage
 
Back
Top Bottom