Funny boe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 3,637
- 8,214
Nyie wanaume hampendi kula vizuri kuvaa vizuri kukaa pazuri mkuu??Wanawake wanapenda vitu vizuri in general, yaani ale vizuri, avae vizuri, akae pazuri so na bila hela hayo mambo bado hajayapata.
TunapendaNyie wanaume hampendi kula vizuri kuvaa vizuri kukaa pazuri mkuu??
Ni kweli kabisa ila tofauti ipo hapa, jinsia me anaipata kwa jasho lake, ila jinsia ke anataka aipate akiwa amekaa tu sebuleni anatazama luninga!!Pesa inapendwa na jinsia zote coz ndio tool ya kufanikisha mambo mengi
Nimeelewa kwa 20% palipobakia labda unaweza kueleza tenaKwa ile asili ya kupenda sifa na ujiko.... Chochote kitachoonekana kupora sifa zake katika jamii kitamlazimisha kwenda hatua 50 zaidi na hapo ndipo ilipo gharama.
Hujawahi ona Aliyekuwa Top ghafla kaja mgeni watu wakivibe na mgeni tu upande wa pili kuna jitu linakunja mdomo ?
Vaa viatu vya mwanamke. Ungekuwa ni wewe, ungependa tu Blindly au ungetanguliza pia na pesa mbele?Wakuu naomba nielewe kidogo bila kubishana 😅
Je ni kweli wanawake wengi wanapenda pesa, au ni kauli tu ya watu waliopitia experience tofauti na wale wanaotafuta excuses na faraja ya umasikini wao
Nauliza kwa ajili ya kuelewa mtazamo wa watu 🙏
NACHANGANYIKIWA MIMI
Funny boe