Bora jeshi litawale kuliko kutawaliwa na wahuni.Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ.
Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma.
Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
DuhBora jeshi litawale kuliko kutawaliwa na wahuni.View attachment 3483690View attachment 3483691
Ndiyo mkuu wangu wahuni wanazidi kuifisadi nchi wameifanya kama kampuni ya familia zao
Walijua kuihujumu chadema ni kuikomoa Sasa chadema haipo wale vyuma halisi.Ukidhoofisha vyama vya siasa unatengeneza upinzani nje ya mfumo wa vyama na huu upinzani huwatoa watawala kwa fedheha!!
Watanzania wanahitaji chochote kitakachoitoa CCM madarakani, hata Shetani kama anaweza kutusaidia sawa tu.Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ.
Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma.
Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?
Tatizo ni viongozi wanajosahau.Watu wengi wanaamini kuwa yule ni Kapteni wa JWTZ.
Alichokisema kwa ujumla ndio malalamiko ya watu kila siku mitaani. Ufisadi, famiilia za wanaCCM wachache kuiba na kutafuna mali za umma.
Je, ni kweli watanzania wanahitaji mapinduzi ya kijeshi?