Hivi wanposemaga watu weusi ndio wameumbiwa ngono mbona watu weupe ndio wengi sana duniani hii imekaje maana wanazaliana hatari..hapo USA tu watu weusi ni asilimia 11 tu ila jumla ya watu ni zaidi ya million 350 USA..
Mbona research yako ina ukakasi?, Watu weupe(European),wanakaa mabara 4, au 5, hivi, watu weupe kiasi na wekundu(Waasia) wanakaa bara 1(Asia). Waafrika hawana bara(planet) yao peke yao, Maana hapa Africa, Waafrika wapo kusini mwa jangwa la Sahara wakiwa na nchi 46 katika nchi 54 za Afrika, kasikazini ya Afrika(kasikazini ya jangwa la Sahara) wanakaa waarabu. Ssa wazungu lazima wawe wengi, wametoka Europe wameamia Amerika Kusini, Amerika ya kaskazini, Australia na Oceania, pia wamekuja Afrika (South Afrika na Namibia). Hao Waafrika milioni 60 uko Marekani ni zao la utumwa sio kw ajiri ya uwingi wa kusambaa na kuzaliana. Ukikuta mwafrika nje ya bara la Afrika hilo ni zao la utumwa(Jamaika, Bahamas, Trinidad, Brazil, Colombia , Ecuador, Haiti, Bermuda,Pueto Rico, Dominica,etc). Idadi ya Wafrica ni bilioni 1.4 duniani kote, Waasia bilioni 4, Wazungu wa European/American bilioni 2.5. Dunia ina watu Bilioni 8. Hakuna mwili wenye joto au baridi kuzidi jamii nyingine, ila Waafrika wanaishi kwenye Tropical Savvana, jua kali, demu akitoka kwao kuja getoni kwako njiani anapigwa na jua kali sana, sasa wewe ukimvua geto unaona wamoto.