Wengine ni hofu zao. Na hii inasababisha baadhi ya vijana kushindwa kujitegemea kifikra. Matokeo yake wanawategemea zaidi wazazi wao. Wazazi wanachotakiwa kufanya ni kuwaombea baraka watoto wao na si kuwawekea vikwazoJapo sio wote ila kuna aina flani ya wazazi ambao linapofika swala la kuoa au kuolewa wana tabia ya kuwapinga watoto wasioe au kuolewa kutokana sababu wanazozijua wenyewe kama vile kabila , Dini, familia n. K kwa hofu watoto watakuja kuteseka
Je katika hili kuna ukweli wowote ule
Sawa kabisaaWengine ni hofu zao.
Na hii inasababisha baadhi ya vijana kushindwa kujitegemea kifikra. Matokeo yake wanawategemea zaidi wazazi wao.
Wazazi wanachotakiwa kufanya ni kuwaombea baraka watoto wao na si kuwawekea vikwazo
Halafu mara nyingi inajitokeza kwa mtoto wa kwanza au mtoto pekee au anayependwa ama kutegemewa na wazazi. Wanakuwa na hofu nyingi ya kupoteza ukaribu, heshima au upendo kutoka kwa huyo kijana au binti yao.
Duu kweli mkuu hii imenikuta so nimekuelewa sana!Wengine ni hofu zao. Na hii inasababisha baadhi ya vijana kushindwa kujitegemea kifikra. Matokeo yake wanawategemea zaidi wazazi wao. Wazazi wanachotakiwa kufanya ni kuwaombea baraka watoto wao na si kuwawekea vikwazo
Halafu mara nyingi inajitokeza kwa mtoto wa kwanza au mtoto pekee au anayependwa ama kutegemewa na wazazi. Wanakuwa na hofu nyingi ya kupoteza ukaribu, heshima au upendo kutoka kwa huyo kijana au binti yao.