Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Najaribu kufikiria kwenye familia yenu au ukoo wenu wote mkikataa ndoa miaka 30 ijayo itakuwaje. Wote mtakuwa wazee hakuna vijana na ndio utakuwa mwisho wa kizazi chenu na jamii itakuwa imeingia hasara ya uwepo wa watu fulani.
You can't avoid nature kijana. Si mambo yote tunayofanya kwenye jamii ni kwa faida yetu pekee. Huenda yaliyo ya faida kwetu ni 30%.
You can't avoid nature kijana. Si mambo yote tunayofanya kwenye jamii ni kwa faida yetu pekee. Huenda yaliyo ya faida kwetu ni 30%.