Je, ni lazima kuwa kwenye mahusiano/ ndoa?

Je, ni lazima kuwa kwenye mahusiano/ ndoa?

Kwa kiasi kikubwa hili jambo, kimsingi limepitwa na wakati.

Watu kuumizana kihisia,wengine kupoteza maisha.

Kuna gharama ya fedha na muda katika jambo hili.

Wengine huingiamo kwa ajili ya kufuata mkumbo au kwa kushinikizwa.

Kwa sisi wanaume huduma hii waweza ipata kwa unafuu kwa kina dada poa.

Kwa Wavulana wanaokuwa huweza piga nyetoh.

Kama waweza nunua maziwa dukani, kuna haja gani ya kufuga ling'ombe?
Mi nadhani mtoto ni lazima ila ndoa sío (wazo langu tu).

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hili jambo ni pasua kichwa sana. Ila kwa point alizoongea ndugu Dr Matola PhD mtu unalazimika tu kuoa na kuwa na familia. Ila kiukweli haya mambo ya mahusiano yanavuruga sana akili. Kwanza unakuwa hauko huru kabisa yaani wasiwasi mtupu kisa papuchi. Watu wengi walioko kwenye ndoa wana stress kinyama.... mimi kiukweli Mungu anisaidie tu kwasababu siko tayari kuingia kwenye jela ya hiari kirahisi.. haya mambo kwa asilimia kubwa ni kukuvuruga tu.
 
Ndoa siyo kwa ajili ya watu wote, hata Mtume Paulo alikuwa jambazi tu na hakuwahi kuwa na familia.

Ila kama umelelewa vyema kwenye familia yenu ndoa ni muhimu sana kwa strong succession generation.

Huwezi kuendeleza ukoo wenu kwa kuwakaza madada powa au kuzaa bila utaratibu na mwanamke yeyote yule.

Mwanaume ukiacha ubinafsi unakuta jukumu la ndoa ni lazima, mfano Mimi Baba yangu mzazi alipokufa Mimi ndio successor wake kuendeleza jina na empire.

Sasa nikijiunga na kataa ndoa miaka 50 ijayo hakutakuwa na ukoo uliotokea mlangoni kwetu, unakuwa umezaa kama panya tu na mashangingi tofauti.
Hata ukizaa na wanawake tofauti generation itaendelea tu. Mtu alieoa wake wanne akazaa nao watoto na mtu alieza watoto na wanawake wann tofauti ambao hakuwaoa wana tofauti gani?. Nakujibia hili swali utofauti wao ni kwamba mmoja hakufata utaratibu uliozoeleka na jamii (kuzaa ukiwa kwenye ndoa) hivyo basi akabandikwa jina muhuni na yule mwanamke shangingi na mwingine alifata utaratibu unaokubalika na wanajamii hivyo basi akaonekana mtu wa maana.

NB: Mimi naamini watoto ni lazima kuendeleza ukoo cha muhimu ni kuzingatia wasipoteze identity ya kwao na unawatimizia mahitaji yao kama baba. Ila kuoa sio lazima.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Tujiulize ndoa inawakilisha vitu gani kwanza..

1. Kupevuka (maturity)
2. Upendo
3. Familia
4. Ulinzi
5. Majukumu
6. Uzazi
7. Heshima
8. Tamaduni
E.t.c..

Wasimbe na ma anko bachelor tupisheni kwanza [emoji23][emoji23]

Jokes.
Bila ndoa mtu hawezi kutambulika kapevuka?

Ni kweli ndoa inawakilisha upendo? (fikiria upya)

Mtu hawezi kusema ana familia bila ndoa (ukiwa na watoto 3 hata kama mama tofauti hujawaoa huwezi kusema unafamilia)?

Bila ndoa hakuna ulinzi?

Usipooa unakosa majukumu?

Huwezi kuwa mzazi bila ndoa?

Huwezi kuheshimika bila ndoa?

Vipi tamaduni au taratibu za makundi fulani ambayo hayalazimishi au hayaruhusu kuoa?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Bila ndoa mtu hawezi kutambulika kapevuka?

Ni kweli ndoa inawakilisha upendo? (fikiria upya)

Mtu hawezi kusema ana familia bila ndoa (ukiwa na watoto 3 hata kama mama tofauti hujawaoa huwezi kusema unafamilia)?

Bila ndoa hakuna ulinzi?

Usipooa unakosa majukumu?

Huwezi kuwa mzazi bila ndoa?

Huwezi kuheshimika bila ndoa?

Vipi tamaduni au taratibu za makundi fulani ambayo hayalazimishi au hayaruhusu kuoa?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Boss unajua username yako inasadifu wee ni mtu wa imani, anyway.. niliyoandika yameelemea kiimani na kitamaduni za muafrika japo mwishoni nmesema jokes mana nmeingiza na utani pia.. yote kwa yote ndoa ni maagizo tumepewa hivi wee una dini kweli unatoa mfano wa watoto mama wa3 tofauti? Alaf neno langu si sheria haina haja ya ku cross check kila nachoandika point moja moja duuh, kama hunielewi potezea.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenyewe hawaogopi ki-okra
Ah wale uzuri wao wanataka ndalama tuu....anakupiga body to body massage na kuchezea ki ocra mpaka kinatema wadhungu basi inatosha. Maana ukisema umgegede nikujitia aibu tuu
 
Sio dada poa tu!
Mbona kuna wanawake kibao wakataa ndoa .

Au unadhan kila mwanamke ambae hajaolewa ni dada poa au hafanyi sex.

Hao ndio tunaishi nao sisi wakataa ndoa.
Kuna dada poa...hawakupi stress
 
Fikiria tena mkuu.
Utagundua kukataa ndoa sio sababu ya kutokuendelea kizazi na ukoo

Fikiria tena mkuu.

Najaribu kufikiria kwenye familia yenu au ukoo wenu wote mkikataa ndoa miaka 30 ijayo itakuwaje. Wote mtakuwa wazee hakuna vijana na ndio utakuwa mwisho wa kizazi chenu na jamii itakuwa imeingia hasara ya uwepo wa watu fulani.

You can't avoid nature kijana. Si mambo yote tunayofanya kwenye jamii ni kwa faida yetu pekee. Huenda yaliyo ya faida kwetu ni 30%.
 
Ah wale uzuri wao wanataka ndalama tuu....anakupiga body to body massage na kuchezea ki ocra mpaka kinatema wadhungu basi inatosha. Maana ukisema umgegede nikujitia aibu tuu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mzabzab nimecheka had so poa aiseee!!!!
 
Back
Top Bottom