Je, ni lazima kuwa kwenye mahusiano/ ndoa?

Najaribu kufikiria kwenye familia yenu au ukoo wenu wote mkikataa ndoa miaka 30 ijayo itakuwaje. Wote mtakuwa wazee hakuna vijana na ndio utakuwa mwisho wa kizazi chenu na jamii itakuwa imeingia hasara ya uwepo wa watu fulani.

You can't avoid nature kijana. Si mambo yote tunayofanya kwenye jamii ni kwa faida yetu pekee. Huenda yaliyo ya faida kwetu ni 30%.
 
Kuna athari gani negative, usipo endeleza ukoo?
 
Uko sahihi kabisa......
Unaweza usiwe na ndoa.....ukawa na watoto.
 
Tujiulize ndoa inawakilisha vitu gani kwanza..

1. Kupevuka (maturity)
2. Upendo
3. Familia
4. Ulinzi
5. Majukumu
6. Uzazi
7. Heshima
8. Tamaduni
E.t.c..

Wasimbe na ma anko bachelor tupisheni kwanza 😂😂

Jokes.
 
Wee bwana nyie wenyewe mnapenda kugegedwa ndio maana mnatupea mbususu zenu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na wewe tafuta mnyonge ummegee ila ndoa iko pale pale lazima vijana wako waoe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Na wewe tafuta mnyonge ummegee ila ndoa iko pale pale lazima vijana wako waoe
Ah wapi sina ubavu huo bwana. Kwanza mie majanga mengi...kibamia mie, domo zege mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…