Je, ni lazima kuwa kwenye mahusiano/ ndoa?

Mi nadhani mtoto ni lazima ila ndoa sΓ­o (wazo langu tu).

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Hili jambo ni pasua kichwa sana. Ila kwa point alizoongea ndugu Dr Matola PhD mtu unalazimika tu kuoa na kuwa na familia. Ila kiukweli haya mambo ya mahusiano yanavuruga sana akili. Kwanza unakuwa hauko huru kabisa yaani wasiwasi mtupu kisa papuchi. Watu wengi walioko kwenye ndoa wana stress kinyama.... mimi kiukweli Mungu anisaidie tu kwasababu siko tayari kuingia kwenye jela ya hiari kirahisi.. haya mambo kwa asilimia kubwa ni kukuvuruga tu.
 
Hata ukizaa na wanawake tofauti generation itaendelea tu. Mtu alieoa wake wanne akazaa nao watoto na mtu alieza watoto na wanawake wann tofauti ambao hakuwaoa wana tofauti gani?. Nakujibia hili swali utofauti wao ni kwamba mmoja hakufata utaratibu uliozoeleka na jamii (kuzaa ukiwa kwenye ndoa) hivyo basi akabandikwa jina muhuni na yule mwanamke shangingi na mwingine alifata utaratibu unaokubalika na wanajamii hivyo basi akaonekana mtu wa maana.

NB: Mimi naamini watoto ni lazima kuendeleza ukoo cha muhimu ni kuzingatia wasipoteze identity ya kwao na unawatimizia mahitaji yao kama baba. Ila kuoa sio lazima.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Tujiulize ndoa inawakilisha vitu gani kwanza..

1. Kupevuka (maturity)
2. Upendo
3. Familia
4. Ulinzi
5. Majukumu
6. Uzazi
7. Heshima
8. Tamaduni
E.t.c..

Wasimbe na ma anko bachelor tupisheni kwanza [emoji23][emoji23]

Jokes.
Bila ndoa mtu hawezi kutambulika kapevuka?

Ni kweli ndoa inawakilisha upendo? (fikiria upya)

Mtu hawezi kusema ana familia bila ndoa (ukiwa na watoto 3 hata kama mama tofauti hujawaoa huwezi kusema unafamilia)?

Bila ndoa hakuna ulinzi?

Usipooa unakosa majukumu?

Huwezi kuwa mzazi bila ndoa?

Huwezi kuheshimika bila ndoa?

Vipi tamaduni au taratibu za makundi fulani ambayo hayalazimishi au hayaruhusu kuoa?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Boss unajua username yako inasadifu wee ni mtu wa imani, anyway.. niliyoandika yameelemea kiimani na kitamaduni za muafrika japo mwishoni nmesema jokes mana nmeingiza na utani pia.. yote kwa yote ndoa ni maagizo tumepewa hivi wee una dini kweli unatoa mfano wa watoto mama wa3 tofauti? Alaf neno langu si sheria haina haja ya ku cross check kila nachoandika point moja moja duuh, kama hunielewi potezea.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wenyewe hawaogopi ki-okra
Ah wale uzuri wao wanataka ndalama tuu....anakupiga body to body massage na kuchezea ki ocra mpaka kinatema wadhungu basi inatosha. Maana ukisema umgegede nikujitia aibu tuu
 
Sio dada poa tu!
Mbona kuna wanawake kibao wakataa ndoa .

Au unadhan kila mwanamke ambae hajaolewa ni dada poa au hafanyi sex.

Hao ndio tunaishi nao sisi wakataa ndoa.
Kuna dada poa...hawakupi stress
 
Fikiria tena mkuu.
Utagundua kukataa ndoa sio sababu ya kutokuendelea kizazi na ukoo

Fikiria tena mkuu.

 
Ah wale uzuri wao wanataka ndalama tuu....anakupiga body to body massage na kuchezea ki ocra mpaka kinatema wadhungu basi inatosha. Maana ukisema umgegede nikujitia aibu tuu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mzabzab nimecheka had so poa aiseee!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…