Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

kwann mliachana
Hahha ni stories ndefu sana kwanza utoto , halafu mimi pia nilikua mtu wa ego na masifa sana , na mbaya zaidi nilikutana na mwanamke mkorofi na mwenye ego kama zangu hivyo kila mtu akavimba na akawa mwamba yakaishia hapo🤣
 
vipi kwa sasa umekuwa utoto umeacha na misifa
 
When the deal is too good think twice. Usipotoa mahari utatombewa mwanamke hadi useme kuoa ni dhambi. Jitahidi utoe hata nusu ya mahari upate japo kaheshma kadogo. Le me put it clear here... Usipotoa mahari yeye ndo atakua spy kwako kutoka kwao. Kila utakacho kuwa unakifanya lazma kwao wajue na mwisho wa cku watakuchana live hadi ushangae kuwa ulioa mwanamke au cctv. Try your best. NIMECOMENT AT MY OWN RISK.
Lakini mbona Kuna tetezi kuwa wanaume wengine wakitoa mahari dharau kwa yule mke zinakuwa mingi, wanaona ni kama anamown kama property yake hivi
 
Hahha ni stories ndefu sana kwanza utoto , halafu mimi pia nilikua mtu wa ego na masifa sana , na mbaya zaidi nilikutana na mwanamke mkorofi na mwenye ego kama zangu hivyo kila mtu akavimba na akawa mwamba yakaishia hapo🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na kama pesa ndio tatizo
Posa ni sehemu ya Utamaduni na Desturi, ni muhimu kufuata hizo taratibu, ila kama Muolewaji na Walii wake wameridhia umchukue pasina kutoa chochote basi sema Alhamdullilah ila binafsi sijawahi kuona hilo na sijui sana taaratibu za makabila tafauti na mahari zao
 
Nimeona huu uzi nazidi kupatwa na hasira.

nimeambiwa mahari million 18, binti ni Mchaga graduate! eti kisa ni graduate ndo maana mahari ni pesa hiyo.
Kila nikikaa natamani hata kumpigia huyo mzee simu nimwambie atafute mtu mwingine amuozeshe binti yake kwa pesa hiyo.

nitakileta kisa changu hapa jukwaani.
Weah hii noma sana
 
Shida kunao wanao exaggerate sna kuhusu hili swala
 
Nimeona huu uzi nazidi kupatwa na hasira.

nimeambiwa mahari million 18, binti ni Mchaga graduate! eti kisa ni graduate ndo maana mahari ni pesa hiyo.
Kila nikikaa natamani hata kumpigia huyo mzee simu nimwambie atafute mtu mwingine amuozeshe binti yake kwa pesa hiyo.

nitakileta kisa changu hapa jukwaani.
Milioni 18 waah , maoni yangu mie ni kuwa wame exaggerate sana
 
Back
Top Bottom