masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Ela mzee na marafki zake walizotajaUduanzi ni namna unavyoona wewe. Ila Hujamtendea Haki Baba yako.
Barua ya Posa na Mahari ni utaratibu Muhim na wa Lazima.
Ni kitendo cha kuonyesha Heshima , uwajibikaji na upendo kwa familia ya upande wa Mwanamke na wala sio kumnunua.
Kumbuka Ukifa Leo. Mumeo ndio atachagua akuzike wapi. Na sio wazazi wako.
(Ina maana Haurud kwenu tena uwe hai au umekufa), kwenu pia ardhi haupewi, ardhi ya mume wako ndio yako.
jambo kubwa kama hili lazima lifanywe kwa uwazi.
Mahar ni heshima kwa Baba.
Mfano Ww utakuwa na Familia, may be watoto wa kike, fikiria kuwa mtoto wako anaenda kukaa na mumewe kwa kukupa tu ww taarifa.
Bila ww kujua ndugu wa upande ule, bila ndugu wale kuja kutoa shukran kwako kama mzazi, bila taratibu ya mahari kufuatwa.
Ungefurahi?.
Yaan Hata mzazi akipewa mbuzi mmoja kama mahari. Anashukuru kwa kuwa kaheshimiwa.
Eee
Acha tu
Ilikua zaidi ya 6M
Miaka 10 iliyopita