Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

Kwani ukioa kwa mahari ndio hawatamuweka? Watu wanatumia 50m kwenye mhari na sherehe kali na kesho anawekwa kama kawaida.

Kwanza tumeoa wanawake waliochapika huko nonstop.
Umeongea maneno yanayochoma sana mkuu hasa hasa huo mstari wa mwisho umeongea kwa uchungu sana kashachapika sana ila Mzee ukajibebea goma lako ukaweka ndani watu waendelee kujichapia goma lako likiwa ndani tayari halafu huna habari acha waendelee kujichapia tu, umeongea kwa experience na uchungu mwingi sana mkuu
 
Mnadiscuss mahari ipi tena wakuu? 👀

Kwani siku hizi si nasikia kwamba ukimkaribisha geto akilala mara moja tu, anaanza kuhamia mwenyewe taratibu taratibu.

siku nyingine kaja na nguo pair 1, kesho kaja na pair 2, hivyo hivyo mdogo mdogo mpaka utashangaa karibu vitu vyake vyote vipo kwako.
Na baada ya hapo kwako panakuwa kwenu (kwake na kwako pia).
Sheria za Kenya zasema kuwa ukikaa na msichana wa wenyewe kwa miezi sita basi huyo ni bibi yako kisheria
 
Lakini mbona Kuna tetezi kuwa wanaume wengine wakitoa mahari dharau kwa yule mke zinakuwa mingi, wanaona ni kama anamown kama property yake hivi
at my own risk na unaniambia wanaume wengne. Waulize hao wanaume wengine watakwambia mengne
 
Kutoa mahari kwa manzi aliyetumika ni kutapeliwa, wenzako wamemla bure wewe unagharamia

Special kumanyoko kwa wote waliolipia mahari wanawake used

If she slept with other men for free should be offered fo free
 
Utoe usitoe kuchapiwa kupo pale pale ni itokee tu bahati upate mwanamke anaejielewa na anaeweza kuepuka vishawishi. Nothing can stop a woman from cheating except herself
yap bro the only shimo a man enter one army man ni kaburi tu thanks kwa uelewa wako bt read the last sentence with capital letters in my coment
 
Kwani ukioa kwa mahari ndio hawatamuweka? Watu wanatumia 50m kwenye mhari na sherehe kali na kesho anawekwa kama kawaida.

Kwanza tumeoa wanawake waliochapika huko nonstop.
labda huko kwenu bt mimi mama jnr wangu nilimpata akiwa sealed na tuliuguza 1week ndo tukaanza tena kukutanisha vijokoleo sa wewe kama ulpata mtumba mezea au rud utafte mwingne coz mwanamme hazeeki
 
Nimeona huu uzi nazidi kupatwa na hasira.

nimeambiwa mahari million 18, binti ni Mchaga graduate! eti kisa ni graduate ndo maana mahari ni pesa hiyo.
Kila nikikaa natamani hata kumpigia huyo mzee simu nimwambie atafute mtu mwingine amuozeshe binti yake kwa pesa hiyo.

nitakileta kisa changu hapa jukwaani.
Bikira ipo? Vyuo vingi ni machimbo ya kuzalisha malaya wenye degree za chupi.
Mwambie huyo mzee wa Kichaga hatuoi degree tunaona mwanamke mwenye sifa ya feminity

Tia mimba au achana naye akiapproach 28 au 30+ wataelewa kuwa mwanaume ndiye anayemua nani wa kumuoa

Kuna wanawake bilioni 4 duniani she ain't special
 
Kama ningeweza rudiaha siku nyuma
Nisingedate au kuwaza mambo ya material katika date zangu coz ndo mambo ya kuwaza ndoa since first kiss...huenjoy chochote
Ningedate for love....

Mi sikupenda kwanza mambo ya mahari coz niliona namuumiza jamaa
Ila Wamasai, Wachaga na Wameru mpo serious sana na mahari hasa nyama na mipombe...saw it in Arusha
 
Sio lazima
Nilikataa uo uduanzi mpaka leo mi na mzee hatuelewani

Uduanzi ni namna unavyoona wewe. Ila Hujamtendea Haki Baba yako.

Barua ya Posa na Mahari ni utaratibu Muhim na wa Lazima.

Ni kitendo cha kuonyesha Heshima , uwajibikaji na upendo kwa familia ya upande wa Mwanamke na wala sio kumnunua.

Kumbuka Ukifa Leo. Mumeo ndio atachagua akuzike wapi. Na sio wazazi wako.
(Ina maana Haurud kwenu tena uwe hai au umekufa), kwenu pia ardhi haupewi, ardhi ya mume wako ndio yako.
jambo kubwa kama hili lazima lifanywe kwa uwazi.

Mahar ni heshima kwa Baba.
Mfano Ww utakuwa na Familia, may be watoto wa kike, fikiria kuwa mtoto wako anaenda kukaa na mumewe kwa kukupa tu ww taarifa.
Bila ww kujua ndugu wa upande ule, bila ndugu wale kuja kutoa shukran kwako kama mzazi, bila taratibu ya mahari kufuatwa.
Ungefurahi?.

Yaan Hata mzazi akipewa mbuzi mmoja kama mahari. Anashukuru kwa kuwa kaheshimiwa.
 
Umeongea maneno yanayochoma sana mkuu hasa hasa huo mstari wa mwisho umeongea kwa uchungu sana kashachapika sana ila Mzee ukajibebea goma lako ukaweka ndani watu waendelee kujichapia goma lako likiwa ndani tayari halafu huna habari acha waendelee kujichapia tu, umeongea kwa experience na uchungu mwingi sana mkuu
Sasa kama hukuoa bikra maana yake nini, umeoa mke wa mtu huko, chances za yeye kuchapika tena ni kubwa maana ana watu wake huko wa kumtosha.

Kumlipia mtu wa hivi mahari ni kupoteza rasilimali zako tu.
 
Back
Top Bottom