AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Umeongea maneno yanayochoma sana mkuu hasa hasa huo mstari wa mwisho umeongea kwa uchungu sana kashachapika sana ila Mzee ukajibebea goma lako ukaweka ndani watu waendelee kujichapia goma lako likiwa ndani tayari halafu huna habari acha waendelee kujichapia tu, umeongea kwa experience na uchungu mwingi sana mkuuKwani ukioa kwa mahari ndio hawatamuweka? Watu wanatumia 50m kwenye mhari na sherehe kali na kesho anawekwa kama kawaida.
Kwanza tumeoa wanawake waliochapika huko nonstop.
Sheria za Kenya zasema kuwa ukikaa na msichana wa wenyewe kwa miezi sita basi huyo ni bibi yako kisheriaMnadiscuss mahari ipi tena wakuu? 👀
Kwani siku hizi si nasikia kwamba ukimkaribisha geto akilala mara moja tu, anaanza kuhamia mwenyewe taratibu taratibu.
siku nyingine kaja na nguo pair 1, kesho kaja na pair 2, hivyo hivyo mdogo mdogo mpaka utashangaa karibu vitu vyake vyote vipo kwako.
Na baada ya hapo kwako panakuwa kwenu (kwake na kwako pia).
nilikuwa naitafuta hii comment hatimaye nimeipata.Binti wa watu akutunzie bikra yake halafu uone ubahili kumtolea mahari?
at my own risk na unaniambia wanaume wengne. Waulize hao wanaume wengine watakwambia mengneLakini mbona Kuna tetezi kuwa wanaume wengine wakitoa mahari dharau kwa yule mke zinakuwa mingi, wanaona ni kama anamown kama property yake hivi
Umeelezea kwa uchungu mno, pole sana kwa yaliyokusibu.
yap bro the only shimo a man enter one army man ni kaburi tu thanks kwa uelewa wako bt read the last sentence with capital letters in my comentUtoe usitoe kuchapiwa kupo pale pale ni itokee tu bahati upate mwanamke anaejielewa na anaeweza kuepuka vishawishi. Nothing can stop a woman from cheating except herself
labda huko kwenu bt mimi mama jnr wangu nilimpata akiwa sealed na tuliuguza 1week ndo tukaanza tena kukutanisha vijokoleo sa wewe kama ulpata mtumba mezea au rud utafte mwingne coz mwanamme hazeekiKwani ukioa kwa mahari ndio hawatamuweka? Watu wanatumia 50m kwenye mhari na sherehe kali na kesho anawekwa kama kawaida.
Kwanza tumeoa wanawake waliochapika huko nonstop.
Bikira ipo? Vyuo vingi ni machimbo ya kuzalisha malaya wenye degree za chupi.Nimeona huu uzi nazidi kupatwa na hasira.
nimeambiwa mahari million 18, binti ni Mchaga graduate! eti kisa ni graduate ndo maana mahari ni pesa hiyo.
Kila nikikaa natamani hata kumpigia huyo mzee simu nimwambie atafute mtu mwingine amuozeshe binti yake kwa pesa hiyo.
nitakileta kisa changu hapa jukwaani.
Ila Wamasai, Wachaga na Wameru mpo serious sana na mahari hasa nyama na mipombe...saw it in ArushaKama ningeweza rudiaha siku nyuma
Nisingedate au kuwaza mambo ya material katika date zangu coz ndo mambo ya kuwaza ndoa since first kiss...huenjoy chochote
Ningedate for love....
Mi sikupenda kwanza mambo ya mahari coz niliona namuumiza jamaa
Sio lazima
Nilikataa uo uduanzi mpaka leo mi na mzee hatuelewani
Sasa kama hukuoa bikra maana yake nini, umeoa mke wa mtu huko, chances za yeye kuchapika tena ni kubwa maana ana watu wake huko wa kumtosha.Umeongea maneno yanayochoma sana mkuu hasa hasa huo mstari wa mwisho umeongea kwa uchungu sana kashachapika sana ila Mzee ukajibebea goma lako ukaweka ndani watu waendelee kujichapia goma lako likiwa ndani tayari halafu huna habari acha waendelee kujichapia tu, umeongea kwa experience na uchungu mwingi sana mkuu