masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Ela mzee na marafki zake walizotajaUduanzi ni namna unavyoona wewe. Ila Hujamtendea Haki Baba yako.
Barua ya Posa na Mahari ni utaratibu Muhim na wa Lazima.
Ni kitendo cha kuonyesha Heshima , uwajibikaji na upendo kwa familia ya upande wa Mwanamke na wala sio kumnunua.
Kumbuka Ukifa Leo. Mumeo ndio atachagua akuzike wapi. Na sio wazazi wako.
(Ina maana Haurud kwenu tena uwe hai au umekufa), kwenu pia ardhi haupewi, ardhi ya mume wako ndio yako.
jambo kubwa kama hili lazima lifanywe kwa uwazi.
Mahar ni heshima kwa Baba.
Mfano Ww utakuwa na Familia, may be watoto wa kike, fikiria kuwa mtoto wako anaenda kukaa na mumewe kwa kukupa tu ww taarifa.
Bila ww kujua ndugu wa upande ule, bila ndugu wale kuja kutoa shukran kwako kama mzazi, bila taratibu ya mahari kufuatwa.
Ungefurahi?.
Yaan Hata mzazi akipewa mbuzi mmoja kama mahari. Anashukuru kwa kuwa kaheshimiwa.
Ela mzee na marafki zake walizotaja
Eee
Acha tu
Ilikua zaidi ya 6M
Miaka 10 iliyopita
Ilitolewa almost yoteBasi Mngetoa nusu. Au robo.
kuonyesha mmemsikiliza na kumuheshimu.
Hao si ni ngombe 3-4 kwa kipind kile?.
Wanakusoma humu ujue wanaona unavyoyatoa mafaili yao ya siriSasa kama hukuoa bikra maana yake nini, umeoa mke wa mtu huko, chances za yeye kuchapika tena ni kubwa maana ana watu wake huko wa kumtosha.
Kumlipia mtu wa hivi mahari ni kupoteza rasilimali zako tu.
Tuseme ilikua 8M sasa hivi akitokea kijana akaweka 10M vipi unaolewa?Ela mzee na marafki zake walizotaja
Eee
Acha tu
Ilikua zaidi ya 6M
Miaka 10 iliyopita
πKwa x wife wangu sikudaiwa mahari ila hata kabla ya kuoa zilinichomoka zaidi ya milioni 10
Ulitolewa mahari ukagoma kuolewa?Ilitolewa almost yote
Ila mzee ananiona jau
Mpaka leo
Nishatia mimba mkuu, ana mtoto now ana miezi minneBikira ipo? Vyuo vingi ni machimbo ya kuzalisha malaya wenye degree za chupi.
Mwambie huyo mzee wa Kichaga hatuoi degree tunaona mwanamke mwenye sifa ya feminity
Tia mimba au achana naye akiapproach 28 au 30+ wataelewa kuwa mwanaume ndiye anayemua nani wa kumuoa
Kuna wanawake bilioni 4 duniani she ain't special
Mhmm pombe sio chai siamini kama nimejielezea hiviπ€π
HahahπππππUtoe usitoe kuchapiwa kupo pale pale ni itokee tu bahati upate mwanamke anaejielewa na anaeweza kuepuka vishawishi. Nothing can stop a woman from cheating except herself