Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa,

Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na masikio

Kwa zama za sasa sio tu kwenye Media, hata huko kwenye Makampuni makubwa, Taasisi mwenye Kisu kikali ndio huwa mla nyama

Dakika zimesalia chache sana, Teka sikio fungua Jicho

fatilia live



Tchao
 
Hakuna damu mpya zenye ubunifu hadi kung'ang'ania mavetelani!!!
Hapo ndiyo tatizo, juzi nilishangaa Refresh ya Wasafi inafanana kila kitu na E.news aliyokua anafanya Misago EA Tv mbaya zaidi muuliza maswali ni jamaa ambaye alikua EA tv kwenye kipindi cha E.news na anatumia mtindo ule-ule aliokua anafanya EA Tv.
 
Back
Top Bottom