Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Unasifia Utopolo, mtu anakuja na Maono ya hovyo hovyo, Yeye Mwenyewe anasema hajui

Mayowe Mweye Maono ya hovyo hovyo, Hakuna Maono aliyoyaleta humu Yakatimia,hili ono nalo anaingia Chaka ni swala la mda tu
kilichoandikwa sio maoni, ni swali rudia kusoma
 
Tupe cv zao mkuu..

Dozen amesoma Arusha sec hadi advance na Chuo kasoma IFM

Tupe ya Misago

Au shule unayoimaanisha ni ipi?
Hakuna wanalolijua wao ni Chuki tu na Ushabiki Uchwara, Cv Ya Misago hawana ila wanasema ni Msomi..
 
Tupe cv zao mkuu..

Dozen amesoma Arusha sec hadi advance na Chuo kasoma IFM

Tupe ya Misago

Au shule unayoimaanisha ni ipi?
umeonesha kuuelezea upande mmoja bila kuufanyia research upande wa pili
 
umeonesha kuuelezea upande mmoja bila kuufanyia research upande wa pili
Nyie machalii mnaokeshaga humu celebrity forum mna argument za kitoto sana..

Wewe ndo umesema Sam shule anayo,mimi sijui kuhusu hilo,nifahamishe maana ya Dozen nimekupa maana kasoma na bro wangu IFM back in the days
 
Hapo ndiyo tatizo, juzi nilishangaa Refresh ya Wasafi inafanana kila kitu na E.news aliyokua anafanya Misago EA Tv mbaya zaidi muuliza maswali ni jamaa ambaye alikua EA tv kwenye kipindi cha E.news na anatumia mtindo ule-ule aliokua anafanya EA Tv.
yupi huyo..?
 
Nyie machalii mnaokeshaga humu celebrity forum mna argument za kitoto sana..

Wewe ndo umesema Sam shule anayo,mimi sijui kuhusu hilo,nifahamishe maana ya Dozen nimekupa maana kasoma na bro wangu IFM back in the days
sawa, machalii tumekuelewa
 
Back
Top Bottom