Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa,

Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na masikio

Kwa zama za sasa sio tu kwenye Media, hata huko kwenye Makampuni makubwa, Taasisi mwenye Kisu kikali ndio huwa mla nyama

Tchao
kama ni kweli itakuwa balaa sana nimemiss mixin za mafuvu
 
sam misago kwangu ni bora kuliko hata dozen ni bilingual presenter na yuko fluently kwenye english anajua itakuwa bonge la show aisee
Sam Misago shule ipo, huyo Mwingine shule hakuna
 
We jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.
Unasifia Utopolo, mtu anakuja na Maono ya hovyo hovyo, Yeye Mwenyewe anasema hajui

Mayowe Mweye Maono ya hovyo hovyo, Hakuna Maono aliyoyaleta humu Yakatimia,hili ono nalo anaingia Chaka ni swala la mda tu
 
Basi tusubiri muda utaongea.
 
Tupe cv zao mkuu..

Dozen amesoma Arusha sec hadi advance na Chuo kasoma IFM

Tupe ya Misago

Au shule unayoimaanisha ni ipi?
anamaanisha labda ajasomea mambo ya media kama nimemuelewa vizurii
 
Back
Top Bottom