Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Simjui jina ila anajifunika kitambaa kichwani kama bibiyupi huyo..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simjui jina ila anajifunika kitambaa kichwani kama bibiyupi huyo..?
NiyeyeeeeeeeWe jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.
endelea tu kuota ndoto za mchanaUnasifia Utopolo, mtu anakuja na Maono ya hovyo hovyo, Yeye Mwenyewe anasema hajui
Mayowe Mweye Maono ya hovyo hovyo, Hakuna Maono aliyoyaleta humu Yakatimia,hili ono nalo anaingia Chaka ni swala la mda tu
We jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.
Ulitabiri vizuri ningekuwa n mfanya maamuz hapo wasafi.endelea tu kuota ndoto za mchana
alikuwa Co host wa The Play list
Muda utaongea ngoja tusubirie hivyo vipindi kama vitakuwa na content nzr.
Umesahau ulisema haya ya leo siyo Maono ni Swali..endelea tu kuota ndoto za mchana
Ommy Crazy ndo anaongoza kwa kumkopi, hadi yale makeleleMissago ni fundi..
Mafuvu ndio balaa..
Sema waDJs siku wanamkop sana mafuvu km Dj Ziro. Ommy crazy. Yule dj wa diamond nae yumo
Labda kwavile Sam anaflow ung'eng'e vizuri wanaassume ni msomiNyie machalii mnaokeshaga humu celebrity forum mna argument za kitoto sana..
Wewe ndo umesema Sam shule anayo,mimi sijui kuhusu hilo,nifahamishe maana ya Dozen nimekupa maana kasoma na bro wangu IFM back in the days
Kumbe lilikua swali siyo Maono, Ningeshangaa Leo Maono ya Mayowela Yatimiekilichoandikwa sio maoni, ni swali rudia kusoma