Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Je, ni Lil Ommy, Sam Misago, Dj Mafuvu na Ammy Gal kutambulishwa leo Wasafi?

Unasifia Utopolo, mtu anakuja na Maono ya hovyo hovyo, Yeye Mwenyewe anasema hajui

Mayowe Mweye Maono ya hovyo hovyo, Hakuna Maono aliyoyaleta humu Yakatimia,hili ono nalo anaingia Chaka ni swala la mda tu
endelea tu kuota ndoto za mchana
 
We jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.

Missago ni fundi..

Mafuvu ndio balaa..
Sema waDJs siku wanamkop sana mafuvu km Dj Ziro. Ommy crazy. Yule dj wa diamond nae yumo
 
endelea tu kuota ndoto za mchana
Ulitabiri vizuri ningekuwa n mfanya maamuz hapo wasafi.
Ray mshana ningemreplace na Sam Misago, Ray abaki kwny team ya production.Ammy gal wa kawaida sana awe replaced na demu mwenye vibe kama queen Fifi.
Dj sina shida sana siku hizi kuna dj's wengi sana wazuri hasa kutoka pro 24.
Kwa mtazamo wangu bila chuki sijaona Wasafi kama wana jipya.I wish ipatikane radio iwe na kipindi chenye content kama alichokuwa anakifanya Steve Kabuye a.k.a kafire the cruuuise! hapo wangenibamba hatari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie machalii mnaokeshaga humu celebrity forum mna argument za kitoto sana..

Wewe ndo umesema Sam shule anayo,mimi sijui kuhusu hilo,nifahamishe maana ya Dozen nimekupa maana kasoma na bro wangu IFM back in the days
Labda kwavile Sam anaflow ung'eng'e vizuri wanaassume ni msomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom