We jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.balaa kama ni kweli
Hao jamaa wanafanya kazi gani?hatujazungumzia kusikiliza redio
Umeongea Jambo la msingi sana.Leo ndo kidogo umeongea point.Cha msingi waje na vitu vipya wasiame na contents za vituo vya zamani walivyokua wanafanya kazi.
Hapo ndiyo tatizo, juzi nilishangaa Refresh ya Wasafi inafanana kila kitu na E.news aliyokua anafanya Misago EA Tv mbaya zaidi muuliza maswali ni jamaa ambaye alikua EA tv kwenye kipindi cha E.news na anatumia mtindo ule-ule aliokua anafanya EA Tv.Hakuna damu mpya zenye ubunifu hadi kung'ang'ania mavetelani!!!