kama ni kweli itakuwa balaa sana nimemiss mixin za mafuvuKutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa,
Je ni Lil Ommy, Sam Misago, Ammy Gal na Dj Mafuvu kutambulishwa rasmi Wasafi..? mimi sijui yetu macho na masikio
Kwa zama za sasa sio tu kwenye Media, hata huko kwenye Makampuni makubwa, Taasisi mwenye Kisu kikali ndio huwa mla nyama
Tchao
sam misago kwangu ni bora kuliko hata dozen ni bilingual presenter na yuko fluently kwenye english anajua itakuwa bonge la show aiseeWe jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.
Kwani hao wanafanya kazi gan?rudia tena kusoma, kisha uje, hakuna sehemu iliyoandikwa au kusemwa kuhusiana na kusikiliza redio
Unasifia Utopolo, mtu anakuja na Maono ya hovyo hovyo, Yeye Mwenyewe anasema hajuiWe jamaa nimeamini kweli hii ni sector yako.Hili Jambo nilikuwa hata silijui nimejua kupitia wewe by the way namkubali Sana Sam misago ile mbaya.
Hiyo Media wao hawana ubunifu ni Wazee wa Kucopy copyCha msingi waje na vitu vipya wasiame na contents za vituo vya zamani walivyokua wanafanya kazi.
misago anajua namkubali sana itakuwa shoo kaliSam Misago shule ipo, huyo Mwingine shule hakuna
Tupe cv zao mkuu..Sam Misago shule ipo, huyo Mwingine shule hakuna
Basi tusubiri muda utaongea.Unasifia Utopolo, mtu anakuja na Maono ya hovyo hovyo, Yeye Mwenyewe anasema hajui
Mayowe Mweye Maono ya hovyo hovyo, Hakuna Maono aliyoyaleta humu Yakatimia,hili ono nalo anaingia Chaka ni swala la mda tu
Sawa adamu mchomvu.Tupe cv zao mkuu..
Dozen amesoma Arusha sec hadi advance na Chuo kasoma IFM
Tupe ya Misago
Au shule unayoimaanisha ni ipi?
anamaanisha labda ajasomea mambo ya media kama nimemuelewa vizuriiTupe cv zao mkuu..
Dozen amesoma Arusha sec hadi advance na Chuo kasoma IFM
Tupe ya Misago
Au shule unayoimaanisha ni ipi?
Vipi ushaanza kumtengenezea lunch mama dangote hapo madale?Sawa adamu mchomvu.