Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

Je, ni Madereva gani wako Rafu sana Barabarani?

Ina zaidi ya Mwaka
Na kuna mnazi to mawasiliano via kigogo road
Mnazi to mbezi
Hiyo ipo Kitambo sanaa Nimeanza kwenye Huko mwaka 2020 ilikwepo gari zao zina mstari wa Njano na dam ya mzee
 
Hapa GT ni bajaj. Hawa jamaa wakiona mtu tu pembeni ya barabara hata pawe na situation gani wao mguu kati.

Wanasababisha sana ajali.
Bajaji kwa dar huwa wanajiona ni watembea kwa miguu maana wanapita eneo tengwa kwa watembea kwa Miguu, unajikuta mtembea kwa miguu huna haki kwenye Njia yako
 
Ukiwa mjini bajaji na bodaboda, noah za abiria, na ukiwa rural kuna hizi trucks za kubeba mbao, tumbaku, pamba..karibia wote wana akili moja
Kama Mdau tujitahidi kuwa ripoti kwa Namba za gari zao ili wachukuliwe hatua panapowezekana tupunguze Ajali za Barabarani
 
Hiyo ipo Kitambo sanaa Nimeanza kwenye Huko mwaka 2020 ilikwepo gari zao zina mstari wa Njano na dam ya mzee
Sio kweli mkuu hizi zinapitia kigogo road ____mabibo_____external____riverside hadi mawasiliano zina rangi nyekundu na zambarau ni route mpya
 
Sio kweli mkuu hizi zinapitia kigogo road ____mabibo_____external____riverside hadi mawasiliano zina rangi nyekundu na zambarau ni route mpya
Lakini Alisema Ruti ya Mwenge Mnazi mmoja Via Kigogo... Hakuna mahala amesema Riverside hapo

Na namna hiyo ruti aliyoongelea ni magari ya Mwenge Anayopita Shekilango kisha mabibo kigogo.. hiyo ya River site umeisoma wapi? 🤣🤣🤣
 
Kwa hapa Dar kama ni ushindi na kupata medali ya uendeshaji mbovu wa vyombo vya moto Dar
#1 Daladala, Bodaboda na Bajaji (Hawana mshindani)
#2 Wenye magari madogo madogo, kama Vitz, IST, Raum, Rav 4, Dualis, n,k (Wengi wa wenye magari haya wanataka kujitutua na wanasumbua sana barabarani) mbio na overtakes za hovyo kabisa
 
Lakini Alisema Ruti ya Mwenge Mnazi mmoja Via Kigogo... Hakuna mahala amesema Riverside hapo

Na namna hiyo ruti aliyoongelea ni magari ya Mwenge Anayopita Shekilango kisha mabibo kigogo.. hiyo ya River site umeisoma wapi? 🤣🤣🤣

Sisi tulianza huku wewe umetudandia kwa fujo 😳😳

Kwa daladala DAR kuna hizi za kuitwa HATUPOI
Route ya MNAZI mmoja to Mwenge via KIGOGO ROAD
Hawa balaaa yanii ni kama gari za NEW FORCE na SAULI🙌🏽😄
Hawajali watumiaji wengine wa barabara ni kufukuzana tu
Horn zake sasa kama wauza koni ni kelele njia yote

Hivi kuna hi route sasaivi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ina zaidi ya Mwaka
Na kuna mnazi to mawasiliano via kigogo road
Mnazi to mbezi

Duh kumbe, ni vile tu nilishatoka kwenye u-wana wa israeli, lakini nilikua mdau sana nyakati hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukaibuka huku sasa
Hiyo ipo Kitambo sanaa Nimeanza kwenye Huko mwaka 2020 ilikwepo gari zao zina mstari wa Njano na dam ya mzee
 
Hivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya Ajali za Barabarani, na chanzo kikubwa huwa uzembe wa dereva kwa kupuuza alama za usalama barabarani au mwendo kasi au kutochukua taadhari.

JE, WEWE UNAONA NI MADEREVA GANI WAKO RAFU SANA BARABARANI?
Madereva wa Magari na bodaboda.
 
Kwa daladala DAR kuna hizi za kuitwa HATUPOI
Route ya MNAZI mmoja to Mwenge via KIGOGO ROAD
Hawa balaaa yanii ni kama gari za NEW FORCE na SAULI[emoji1430][emoji1]
Hawajali watumiaji wengine wa barabara ni kufukuzana tu
Horn zake sasa kama wauza koni ni kelele njia yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa mjini bajaji na bodaboda, noah za abiria, na ukiwa rural kuna hizi trucks za kubeba mbao, tumbaku, pamba..karibia wote wana akili moja
Makaa ya mawe, hawa ndo kibokoo wanakua km wame vurugwaa vilee.
 
Back
Top Bottom