Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

Umeandika Upumbavu Osama Bin Laden Alikuwa ni mtoto wa kishua na kuna Wasaudia kibao wana hela wamejiunga kwenye hizo Harakati zinazoitwa Ugaidi.Hakuna kitu kisicho na gharama hata pepo ina gharama zake.
 
Umeandika Upumbavu Osama Bin Laden Alikuwa ni mtoto wa kishua na kuna Wasaudia kibao wana hela wamejiunga kwenye hizo Harakati zinazoitwa Ugaidi.Hakuna kitu kisicho na gharama hata pepo ina gharama zake.

Upumbavu ni kutomwamini Mungu na wema wake. Hawezi kuumba watu wake halafu awaache wauane kumgombania .

Usama bin Shetani mwana wa kuzimu Alikua anafadhili ugaidi . Alikua na Sigda usoni kama baba yake.

Unaongelea stori za vijiweni hujui chochote kuhusu ugaidi unavyoingia kwenye nchi za kiafrika.

Kwa taarifa yako ugaidi ni biashara kubwa sana na inawatajurisha Wafu wengi sana wajanja. Tatizo watoto wa maskini wanatumika kuharibu wetu wao.

Afrika siku watakapoachana na ujinga wa kutegemea misaada mpaka ya kujengewa nyumba za ibada ndio utakuwa mwisho wa ugaidi na magaidi.

Pepo ameaijenga Mungu na ametuumba kwa ridhaa yake na hakuna mtu aliyemuomba Mungu kuwa aumbwe Tanganyika au Uajemi.

Hapa duniani kuna vita kati ya wema na ubaya.
Kanuni ya Mungu ni ya Dhahabu ,usimtendee mwenzako kile usichotaka wewe kutendewa.
Ukiona wewe unapenda kuwaua wengine na kuwachukia wengine basi ujue wewe ni uzao wa nyoka(Shetwain):bila kujali dini na madini yako ya kuijaza ardhi damu za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…