Kenya 2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

Kenya 2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

Kenya 2022 General Election
Hivi ni kweli hujasikia kuwa kuna mtu kapigwa risasi ya kichwa na mgombea hadi akafa! Toa sifa stahiki bila kupitiliza!
Wewe achana na mambo yenu hayo. Itoshe kusema Kenya wako njema sana. Na wataendelea kuburuza ukanda huu wa Afrika mashariki.
 
Naizungumzia Chadema ninayoijua na Tishio kamili la ccm
Narudia tena kwa ubinafsi wa namna hii sahau CCM kuitoa madarakani

Coz hata wana CCM nao wanaangalia maslahi ya chama chao kwanza kabla ya kuangalia ya vyama vingine

Kwahyo tusiwe tuna walaumu maana wanafanya vile ambavyo hata sisi tunafanya au tukipewa mamlaka tutafanya

Kwa mtazamo wako hata Chadema ikishika usukani utaiangalia yenyewe tu kuliko kuangalia na wengine

Ujue CCM hata AcT nao ni wanawasumbua hususani kule visiwani usisahau hilo.
 
Hivi ni kweli hujasikia kuwa kuna mtu kapigwa risasi ya kichwa na mgombea hadi akafa! Toa sifa stahiki bila kupitiliza!
Kumbe kapigwa na Mgombea , siyo polisi wa kenya na kakamatwa na Polisi siyo au kaachwa ? Jimbo la Rwangwa wagombea walitekwa na kupigwa vibaya , huku mwingine akiokotwa Mkuranga , yaani kutoka Rwangwa kuja kutupwa Mkuranga ! ili Majaliwa apite bila kupingwa ulisikia kuna aliyekamatwa na Polisi ?
 
Unajua kinachowafaidisha CCM ni nini katika chaguzi mbalimbali nchi hii ni umimi wa sisi raia

Mfano wewe tu mleta mada umeandika kwa kuwaelezea chadema tu ndio kama vile walikatwa peke yao kwenye uchaguzi ule

Yaani kifupi umezungumzia madhira kwa chadema na sio kwa uchaguzi wote kwa wale walionyimwa haki zao

Kwa namna hii wale viumbe CCM wataendelea sana kutawala hii nchi hadi pale ubinafsi(Ujinga) utakapopungua katika jamii

Tatzo vyama tu vya upinzani hawaaminiani na kila chama kinajiona wao ndio wanastahili kuonekana wana akili timamu kuliko wenzao

Ndugu CCM haiwezi kuondoka madarakani kwa kila chama kujipambania chenyewe

Tujiandae tu na kusikiliza vilio vya watu wakilia kuibiwa kura ila kwa akili hizi CCM inakwenda kushinda tena 2025 hata wakiweka mwembe ugombee.
Kwa hiyo wakitajwa CDM peke yao tu ndiyo kunawafanya vyama vingine wawe wajinga?Ungeeleza jinsi ambavyo kundi kubwa lilivyolishwa ujinga,uongo na kila aina ya propaganda za kipumbavu na CCM juu ya ukinzani,hasa CDM.Mtu anaambiwa CDM ni chama cha Mbowe.Mara cha Wachaga and the blahs go on!Suala ni watu wazima wasikubali miungouongo ya CCM.Wapo tayari kuongea lolote,kupiga magoti,kujiliza kinafiki hata kugalagala ili tu wateke akili za zuzu.Tubadilike.
 
Hapa ndio tatizo lilipo!
20220810_073410.jpg
20220522_145738.jpg
JamiiForums2000526143.jpg
 
ila marehemu alikuwa na roho mbaya jamani na alikuwa hajiamini yaani huku kambini tulikuwa hatupumui yaani walichukua vijana wa jkt wakawapeleka zanzibar kuwa polisi wa mda,jeshini baadhi ya makamanda wakavaa kiraia wakaingia mtaani yaani kwa ulinzi ule nilisema hali ni tete
Usijali!..
2025 machadema mtaingia ikulu
 
Kwa hiyo wakitajwa CDM peke yao tu ndiyo kunawafanya vyama vingine wawe wajinga?Ungeeleza jinsi ambavyo kundi kubwa lilivyolishwa ujinga,uongo na kila aina ya propaganda za kipumbavu na CCM juu ya ukinzani,hasa CDM.Mtu anaambiwa CDM ni chama cha Mbowe.Mara cha Wachaga and the blahs go on!Suala ni watu wazima wasikubali miungouongo ya CCM.Wapo tayari kuongea lolote,kupiga magoti,kujiliza kinafiki hata kugalagala ili tu wateke akili za zuzu.Tubadilike.
Jifunze kujibu hoja sio maandishi ndugu

Hoja yangu hapa ni kuweka ubinafsi(ujinga) kwenye mambo yanayohusu Taifa zima

Kadhia ya uchaguzi nchi hii zinawakumba vyama vyote na hadi raia wasio na vyama pia madhira yake wanayapata refer Akwilina

Mleta mada ameileta hoja yake kiushabiki wa vyama vya siasa kwenye jambo linalohitaji UTaifa

Yaliyotokea Zanzibar hakuna linaloweza kufikia la Tanzania bara katika uchaguzi wa 2020

Tatizo vyama vyote vya siasa hapa Tanzania ni wazuri kwenye kujihesabia haki kila m1 anajiona yeye ni bora kuliko mwenzie.
 
Basi hoja ungeiweka kwenye sauti.Maana mimi nimejibu kutoka kwenye maandishi.Ukitolewa mfano mmoja unatosha kuwaamsha wote wenye kufanana na huo mfano.Kama watazira kwa sababu hawatajwi,basi tatizo lipo sehemu.
 
Siku hizi SSH hafanyi mambo ya kizuzu,kishamba wala ukatili mmechukia kwelikweli.Na amewa-shit ile ngumu.Sasa,ili kujificha kwenye vivuli vyenu vya chuki mnajidai mnawalaumu akina Mbowe.Mnawalaumuje ninyi CCM wakati wafuasi wao hawana tabu?Roho zenu mbaya zinawatukutia na kufura kwa kuwaka hasira.Mnatamani hata mumtukane SSH kwa nini anakaa na kujadili mambo ya taifa na wakinzani!Ndiyo hivyo.Vumilieni au kama vipi kimyakimya unaenda kukaba nafasi pembeni ya tuta la marehemu.
 
Mkuu! Mbona umepanic sana?

Any way, hivi kwenye huu uchaguzi wa Kenya machadema mko upande gani maana ule uliopita mlienda na lowasa hadi nairobi kumpigia kampeni kinyata kisa odinga ni rafiki wa jpm!
 
Mkuu! Mbona umepanic sana?

Any way, hivi kwenye huu uchaguzi wa Kenya machadema mko upande gani maana ule uliopita mlienda na lowasa hadi nairobi kumpigia kampeni kinyata kisa odinga ni rafiki wa jpm!
Nitajibu hilo la pili mpaka uapie hayo niliyokuandikieni mmeyaelewa.😂😂😂
 
Back
Top Bottom