Wakati tunaendelea na kumwaga sifa kedekede kwa yaliyo jili kwenye huu uchaguzi , tuagazie na mapungufu yaliyo jitokeza , nakuona mbinu za kuyaepuka.Kuna wapuuzi humu wamekuwa wakisema " Wananchi hawataki Katiba mpya, wanataka maendeleo"
Unawezaje PATA maendeleo kama Sanduku la kura haliheshimiwi?
IPO haja ya kuendelea kulinganisha Kenya yenye Katiba mpya na Tz yenye Katiba yenye viraka!!!