Kenya 2022 Je, ni Mawaziri wangapi wa Kenya waliopita bila kupingwa?

Kenya 2022 General Election
Kwani Chebukati wetu yeye anasemaje🤔
 
Mahera atakuwa anaona aibu kwa uchafuzi aliotufanyia 2020.

Apelekwe Rwanda au Uganda akasaidie huko.
 
Hata Kenya waliuliza ni mawaziri wangapi huko Tanzania walipita kwa kupingwa?

Hatuwezi kufanana.
 
Delete kinyago cha hilo jambazi
 
Kumbuka wakenya walijitoa mhanga kujikomboa dhidi ya wakenya wenzao kwa kumwanga damu, Sasa kwa bongo hakuna keep kitu Kama hicho kila mtu anataka aishi,
 
Nikiona hiyo picha ya Hilo zee uliyoweka hapo nasikia kutapika.
Swala siyo zee hilo, Bali ninmfumo mzima wa kiutawala Ambao iko kwa ajili ya cha kimoja tuuu. Wanahibiri kijamaa huku wakicheka kibepari. Maana yake eamemiliki vyombo vya kutoa haki.,ambavyo vinawayumikia wao.
 
Kule hatunaga hiyo ujinga
 
Nonsense, wapinzani wenyewe ndio hawa kina faru John walamba asali?.
 
Uyu jamaaa ni mwizi na pia amelaaniwa na alaaniwe sana sana kwa kuuharibu kwa maksudi kabisa uchaguzi wa tz mwaka 2020 hafai ata kuonhoza kitongoji kimoja
 
Mawaziri wa Kenya huwa sio wanasiasa waliogombea uchaguzi. Mabadiliko yalifanywa kwenye katiba ya Kenya na mabadiliko hayo yana mzuia waziri kuwa mbunge, yaani kuwa na nafasi mbili kwa wakati mmoja. Kwasababu hiyo waziri yeyote wa Kenya huwa ni mwana taaluma aliye chaguliwa na Rais kuongoza wizara yoyote kwasababu ya taaluma yake
 
Asante , Je wako wagombea wowote waliohujumiwa na Tume ya Uchaguzi ili kuokoa wagombea wa chama fulani kama alivyofanya Mahera kwa maelekezo ya Jiwe ? Huu ndio msingi wa swali letu
 
Hakuna mwanaccm mwenye aibu
Na kweli hayana aibu ..... nimemuona alivyojichomeka kwenye picha aliyotuma Shangazi kwenye tweeter ...... Yaani kama moto wa Jehanamu ungekuwa unachoma watu wangali hai huyu Mahera kwa alichotufanyia Watanzania 20202 alistahili kuanza kuchomwa hapa hapa duniani.
 
Namuona Mahela mtu kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…