U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 847 Reaction score 714 Aug 13, 2022 #81 Rabbon said: Kuna wapuuzi humu wamekuwa wakisema " Wananchi hawataki Katiba mpya, wanataka maendeleo" Unawezaje PATA maendeleo kama Sanduku la kura haliheshimiwi? IPO haja ya kuendelea kulinganisha Kenya yenye Katiba mpya na Tz yenye Katiba yenye viraka!!! Click to expand... Wakati tunaendelea na kumwaga sifa kedekede kwa yaliyo jili kwenye huu uchaguzi , tuagazie na mapungufu yaliyo jitokeza , nakuona mbinu za kuyaepuka.
Rabbon said: Kuna wapuuzi humu wamekuwa wakisema " Wananchi hawataki Katiba mpya, wanataka maendeleo" Unawezaje PATA maendeleo kama Sanduku la kura haliheshimiwi? IPO haja ya kuendelea kulinganisha Kenya yenye Katiba mpya na Tz yenye Katiba yenye viraka!!! Click to expand... Wakati tunaendelea na kumwaga sifa kedekede kwa yaliyo jili kwenye huu uchaguzi , tuagazie na mapungufu yaliyo jitokeza , nakuona mbinu za kuyaepuka.
U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 847 Reaction score 714 Aug 13, 2022 #82 MSAGA SUMU said: Sio lazima tuige kila kitu Kenya, hata Rwanda, Burundi na Uganda Ni mifano mizuri pia. Sie tumeamua kwenda na Uganda na Rwanda Click to expand... Rwanda Kuna mambo imetuacha Mbali.
MSAGA SUMU said: Sio lazima tuige kila kitu Kenya, hata Rwanda, Burundi na Uganda Ni mifano mizuri pia. Sie tumeamua kwenda na Uganda na Rwanda Click to expand... Rwanda Kuna mambo imetuacha Mbali.
U umucyo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2020 Posts 847 Reaction score 714 Aug 13, 2022 #83 WALOLA VUNZYA said: Kwa sababu ya ujinga na upumbavu mnaruka mkojo mnakanyaga mavi. Click to expand... Mbona huu uchaguzi unachukuliwa kama Hauna dosari?
WALOLA VUNZYA said: Kwa sababu ya ujinga na upumbavu mnaruka mkojo mnakanyaga mavi. Click to expand... Mbona huu uchaguzi unachukuliwa kama Hauna dosari?
goroko77 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2019 Posts 8,845 Reaction score 13,072 Aug 13, 2022 #84 Masoud kipanya Jana aliukizwa na mbaruku Khan kuhusu Kuna la kujifunza ila nimependa jibu la masoud sna alisema hnk la kujifunza Wala kesnya siyo walimu wa democracy kuliko taifa lingine Hilo la Kenya hate hap tz itakuaj kuwezekana tu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Masoud kipanya Jana aliukizwa na mbaruku Khan kuhusu Kuna la kujifunza ila nimependa jibu la masoud sna alisema hnk la kujifunza Wala kesnya siyo walimu wa democracy kuliko taifa lingine Hilo la Kenya hate hap tz itakuaj kuwezekana tu Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Nov 26, 2022 #85 Ilani kurasa 303