Ivi sheki rede ndo ile wanachora vijumba kwenye kona eeeh?Mputo.. Huu mchezo unaletaga ugomvi sana.. Mwenzio kashika kitu especially chakula unamjua unakula hahaha chekishia ugomvi wake
Ndio huo mamy!Ivi sheki rede ndo ile wanachora vijumba kwenye kona eeeh?
Hivi ule wa kuchora vyumba vyumba kama vi4 au 5 afu una pande mbili then unaweka kama sijui ni kijiwe unakipiga kwenda chumba kingine kikivuka chumba umekosa unaitwaje vile??Ivi sheki rede ndo ile wanachora vijumba kwenye kona eeeh?
Ata sijui!Hivi ule wa kuchora vyumba vyumba kama vi4 au 5 afu una pande mbili then unaweka kama sijui ni kijiwe unakipiga kwenda chumba kingine kikivuka chumba umekosa unaitwaje vile??
Sijui ni dama vile ila kuna dama za aina mbili moja ndohiyo ya kucheza na kajiwe kwa mguu mmoja nyingine unaweka kajiwe mara kichwani mara kiganjan duh long time aseeAta sijui!
Ukifika mwisho unataga yai kwenye chumba mwenzako haruhusiwi kukanyaga. [emoji23][emoji23]
Naile ya hivohivo kuchora draft afu unacheza huku umefumba macho unajua?? ukiruka vibaya ukakanyaga mstari umekosaAta sijui!
Ukifika mwisho unataga yai kwenye chumba mwenzako haruhusiwi kukanyaga. [emoji23][emoji23]
Play Station.
Makida unaikumbuka??Ata sijui!
Ukifika mwisho unataga yai kwenye chumba mwenzako haruhusiwi kukanyaga. [emoji23][emoji23]
Makida ya kushika kamba watu wawili then katikati anakuepo mmoja wa kucheza kamba mnaanza kuiweka chini kabisa ya miguu akipatia mnaipandisha akipatia tena inapanda hivohivohii ilikuwa ya wa geti kali hii
Duuh hizo enzi zile zilikuwa kwa watoto wa lishuaPlay Station.
Kuruka kamba ule Mchezo wa kike ule kuna watu wanacheza hawakosei unarusha kamba mpaka makwappa yanaumaHahaha komborela na mpira..
kuna mchezo mwingine nimeusahau ulikuwa hivi mnakusanya michanga then mchomeka kakijiti halafu mnaanza kumega atakaekaangusha hako kakijiti tu ni kipigo kifuata.
hao samaki wa hivyo alikuwaga nao brother yani alikuwa kawatengenezea bwawa lao wao walikuwa wanaliita kwelamu sijui kwa kutumia vioo na cementUtotoni nlikua napenda pia kufuga samaki na kuuza. Enzi hizo kulikua na samaki kama gapi, texido, zebra, gulam, red, gold n.k. Am sure waliowahi kufuga samaki watakua wanajua haya majina
hii michezo ya hivi nilikuwa sikosi japo nilikuwa kaboy.Makida ya kushika kamba watu wawili then katikati anakuepo mmoja wa kucheza kamba mnaanza kuiweka chini kabisa ya miguu akipatia mnaipandisha akipatia tena inapanda hivohivo