- Thread starter
- #281
vijana kama kawaida ilikuwa ni kukusanyika mchana kucheza mpira huku night ikiwa kombolelaHahaha komborela na mpira..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vijana kama kawaida ilikuwa ni kukusanyika mchana kucheza mpira huku night ikiwa kombolelaHahaha komborela na mpira..
redeKama haukuwa mtoto wa geti kali lazima michezo mingi ya utotoni utakuwa unaikumba binafsi nilikuwa napenda michezo mitatu tu ambayo ni;
1. Michezo ya vita hapo unaashumu wewe ni Rambo ukiwa na bunduki ya mabomba ya mipapai.
2. Komborela
3. Mpira huku magoli yakiwa ndala au mawe.
Je, wewe ulikuwa unapenda michezo gani?
huku kwetu ndio hatari kabisa watoto wanawaza movie hata zaidi ya kusoma achilia mbali michezo inayojenga tu.Ichezwe saa ngapi akati watoto wenyewe tunao humu JF? Miaka hii mtoto wa primary tayari ana smart phone.
Dah rede tu.rede
Ilikuwa balaa mnaenda kujificha mkirudi akiyezinga hayupo kaitwa kwao na mama yake daah[emoji16] [emoji16]vijana kama kawaida ilikuwa ni kukusanyika mchana kucheza mpira huku night ikiwa kombolela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ilikuwa balaa mnaenda kujificha mkirudi akiyezinga hayupo kaitwa kwao na mama yake daah[emoji16] [emoji16]
Utakuwa wa kishua wewePlay Station.
Utakuwa wa kishua wewe
Nmecheka bastola ya mipapai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama haukuwa mtoto wa geti kali lazima michezo mingi ya utotoni utakuwa unaikumba binafsi nilikuwa napenda michezo mitatu tu ambayo ni;
1. Michezo ya vita hapo unaashumu wewe ni Rambo ukiwa na bunduki ya mabomba ya mipapai.
2. Komborela
3. Mpira huku magoli yakiwa ndala au mawe.
Je, wewe ulikuwa unapenda michezo gani?
HahaAiseee mimi utotoni nimecheza michezo yote. Kujipikilisha, baba mama, kuchezesha vitoto, kombolela, dama, senta, namsaka mke wangu, kucheza mabunduki, mpira kombe ikiwa pakti moja ya karang. My favourite play ulikua GOROLI mpaka leo nikiwaona watoto wanacheza natamani namm niombe namba
Aiseeee unanikumbusha mbali mkuu au tulicheza wote wwHaha
namtafuta mke wangu namtafuta mke wangu
Hapa hayupo hapa hayupo
Kaenda wapi Kaenda wapi.........
Huu mti gani? wa mchongoma
Nikiukata haukatiki... lol
Haha maybe tulicheza woteAiseeee unanikumbusha mbali mkuu au tulicheza wote ww
Mhuuuu ww... Wap hiyo sasaHaha maybe tulicheza wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha ya enzi hizo hayo.Nmecheka bastola ya mipapai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie rede tu acha nishinde bila kula ilmrad nicheze rede tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Omba usizinge tu[emoji23] [emoji23]2.kombolela