Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

Ivi sheki rede ndo ile wanachora vijumba kwenye kona eeeh?
Hivi ule wa kuchora vyumba vyumba kama vi4 au 5 afu una pande mbili then unaweka kama sijui ni kijiwe unakipiga kwenda chumba kingine kikivuka chumba umekosa unaitwaje vile??
 
Hivi ule wa kuchora vyumba vyumba kama vi4 au 5 afu una pande mbili then unaweka kama sijui ni kijiwe unakipiga kwenda chumba kingine kikivuka chumba umekosa unaitwaje vile??
Ata sijui!
Ukifika mwisho unataga yai kwenye chumba mwenzako haruhusiwi kukanyaga. [emoji23][emoji23]
 
Ata sijui!
Ukifika mwisho unataga yai kwenye chumba mwenzako haruhusiwi kukanyaga. [emoji23][emoji23]
Sijui ni dama vile ila kuna dama za aina mbili moja ndohiyo ya kucheza na kajiwe kwa mguu mmoja nyingine unaweka kajiwe mara kichwani mara kiganjan duh long time asee
 
Ata sijui!
Ukifika mwisho unataga yai kwenye chumba mwenzako haruhusiwi kukanyaga. [emoji23][emoji23]
Naile ya hivohivo kuchora draft afu unacheza huku umefumba macho unajua?? ukiruka vibaya ukakanyaga mstari umekosa
 
dah kumbe wenig tulifungishwa ndoa , tunaweza kutana humu humu aisee, yaani nikisoma hizi story naona kama huyu ndo yule wa enzi zile au lakini mwisho wa siku kuna scene inakua imemiss .
 
na ule mchezo wa namtafuta mke wangu, mnasimama duara af katikati kunakua na huyo mke wa mtu na msusi, af mume mtu anakua nje ya duara anaimba namtafuta mke wangu........
 
Utotoni nlikua napenda pia kufuga samaki na kuuza. Enzi hizo kulikua na samaki kama gapi, texido, zebra, gulam, red, gold n.k. Am sure waliowahi kufuga samaki watakua wanajua haya majina
hao samaki wa hivyo alikuwaga nao brother yani alikuwa kawatengenezea bwawa lao wao walikuwa wanaliita kwelamu sijui kwa kutumia vioo na cement
 
Makida ya kushika kamba watu wawili then katikati anakuepo mmoja wa kucheza kamba mnaanza kuiweka chini kabisa ya miguu akipatia mnaipandisha akipatia tena inapanda hivohivo
hii michezo ya hivi nilikuwa sikosi japo nilikuwa kaboy.
 
Back
Top Bottom