Je, ni mchezo gani utotoni ulipenda kucheza na wenzako?

rede
 
Ichezwe saa ngapi akati watoto wenyewe tunao humu JF? Miaka hii mtoto wa primary tayari ana smart phone.
huku kwetu ndio hatari kabisa watoto wanawaza movie hata zaidi ya kusoma achilia mbali michezo inayojenga tu.
 
Mchezo wa kujificha na nilikuwa najificha na vibinti tu, mimi ndio nilikuwa namfundisha tukajifiche wapi, sijuwa najua lilipo tundu la sikio na sikuwa nimebalehe huenda ningekuwa na mtoto kama bashite
 
Nmecheka bastola ya mipapai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mie rede tu acha nishinde bila kula ilmrad nicheze rede tu
 
Haha
namtafuta mke wangu namtafuta mke wangu
Hapa hayupo hapa hayupo
Kaenda wapi Kaenda wapi.........

Huu mti gani? wa mchongoma
Nikiukata haukatiki... lol
 
Nmecheka bastola ya mipapai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mie rede tu acha nishinde bila kula ilmrad nicheze rede tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha ya enzi hizo hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…